Mhudumu wa stationery-malimbe (mwanza)

sigienet

Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
57
Reaction score
3
A newly established stationery at Malimbe (Saut) is looking for a young lady as an attendant.

Stationery ina mazingira mazuri ya kufanya kazi pamoja na vitendea kazi bora.


Sifa:


Awe msichana kati ya miaka 18-24

Awe anaishi jirani na Chuo kikuu SAUT (Umbali wa upanda dala dala moja tu)

Awe mcheshi

Awe na uwezo wa ku-type kwa speed, kufanya lamination, binding na scanning

Awe na uwezo wa kutumia photocopy machine kubwa

Awe na uwezo wa kuongea vizuri na wateja

Mshahara:

Mzuri na ni maelewano

Contact:

Kwa mawasiliano tuma Private Message, zitajibiwa.

Deadline:

Mwisho wa kupokea maombi ni jumapili tarehe 12 october 2013
 
Duh... mie nina 34yrs ila vigezo vyoote nakidhi je ninaqualify???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…