Mhudumu wa stationery Anahitajika.

Mhudumu wa stationery Anahitajika.

Bwashekh

Member
Joined
Mar 12, 2013
Posts
42
Reaction score
5
Mafiastar stationery iliyopo Magomeni Mapipa Dar es salaam inatangaza nafasi 1 ya kazi za secretariet kwenye stationery hiyo.
Sifa za muombaji:
1.ELimu awe amehitimu kidato cha nne.
2. Awe Ana certificate ya secretariet/computer
3.Awe na speed kiasi au kubwa ya kutyping
4.Awe anaishi maeneo karibu na Magomeni
5.Awe muadilifu na mchapa kazi
6.Awe jinsia ya kike.
Mwisho wa kupokea maombi ni Tarehe 20/12/2015.
Tunakaribisha maombi yatumwe kwenye email: bwashehealli@yahoo.com
Ukiambatanisha CV.
Mshahara ni mapatano kati ya muajili na mfanyakazi.
 
Hakikisha kwenye email yako unayotuma inaonyesha pia sehemu unayoishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom