Salam..nahitaji mhudumu wa hotel sio lazma awe amesomea hotel management au hotelier lakini awe na uzoefu wa kazi kwa:
1. Kuserve wateja chakula na vinywaji
2. Kufanya House keeping
3. Usafi wa jumla
4. Akiwa na uzoefu wa kupika ni bora pia
Hotel ipo Morogoro Mjini na sehemu ya kulala kwa atakaekuwa nje ya mkoa ipo.
Interested awasiliiane kwa msg namba 0686 666666