Wewe ni msukuma.Kyuma
Maana yake ndio hio hio mmmhHivi wakuu
Unapokua unachati na mwanamke afu ukamuomba mchezo afu yeye akakujibu tu eti Mhhmmmmmm..hiyo huwa ina maana gani?
Ikimbie zinaa, utakufa kwa ukimwi! wakorintoHivi wakuu
Unapokua unachati na mwanamke afu ukamuomba mchezo afu yeye akakujibu tu eti Mhhmmmmmm..hiyo huwa ina maana gani?
Sawa mkuuSikia kaka mwanamke ni kiumbe mwenye majibu kadha wa kadha linapokuja suala la mahusiano, lugha na maneno Tata ndio mwanamke hutumia aidha kukufanya ufungue, umdekeze, kukejeli au kumaanisha unataka nijibu Nini? Hivyo ukimuomba mwanamke wako mchezo akasema mmmh ujue anataka ulegeze na uwe mpole uombe kwa adaabu hammna zaidi. Hakuna mwanamke ambae hataki alafu akasema mmh jibu kama sio hapana basi ujue anataka pia😂