mkuu hebu acha kukurupuka na kutaka kuchanganya watu hebu zisome tena hizo namba ni za mtandao gani.kwa anetaka uwakala wa airtel money piga hizi namba 0717474257 .kinacho itajika ni copy ya leseni ya biashara , kitambulisho Tin namba na barua toka kwa mtendaji, bei ya kuanzai kufungua account yako kama wakala ni 3000 kwa biashara ndogo na 300000 kwa biashara kubwa. wakala analipwa kwa kamishen ya 200 kuweka na 250 kutoa kwa kichwa kimoja / kwa mteja moja.
kwa anetaka uwakala wa airtel money piga hizi namba 0717474257 .kinacho itajika ni copy ya leseni ya biashara , kitambulisho Tin namba na barua toka kwa mtendaji, bei ya kuanzai kufungua account yako kama wakala ni 3000 kwa biashara ndogo na 300000 kwa biashara kubwa. wakala analipwa kwa kamishen ya 200 kuweka na 250 kutoa kwa kichwa kimoja / kwa mteja moja.
mkuu hebu acha kukurupuka na kutaka kuchanganya watu hebu zisome tena hizo namba ni za mtandao gani.
Umepotea jukwaa ungekwenda kuleeee!! matangazo madogomadogo sio huku mkuu, tutaona kama hauko serious kwamba staff wa Airtel kuwa na line ya tigo si ajabu tatizo ni pale unapotangaza biashara ya mwajiri wako at the same time unamtangaza mshindani wake kibiashara!kwa anetaka uwakala wa airtel money piga hizi namba 0717474257 (usishangae namba ni ya tigo .mi nimeajiriwa .hvyo naendelea kutumia namba yangu ya tigo though workng 4 airtel) .kinacho itajika ni copy ya leseni ya biashara , kitambulisho Tin namba na barua toka kwa mtendaji, bei ya kuanzai kufungua account yako kama wakala ni 3000 kwa biashara ndogo na 300000 kwa biashara kubwa. wakala analipwa kwa kamishen ya 200 kuweka na 250 kutoa kwa kichwa kimoja / kwa mteja moja.
airtel money mbona wanatakiwa wapige namba za tigo?hujaeleweka mkubwa!
Umepotea jukwaa ungekwenda kuleeee!! matangazo madogomadogo sio huku mkuu, tutaona kama hauko serious kwamba staff wa Airtel kuwa na line ya tigo si ajabu tatizo ni pale unapotangaza biashara ya mwajiri wako at the same time unamtangaza mshindani wake kibiashara!
Ningekuwa ni mimi niliyekupa hiyo kazi ningekupiga bonge la BAN! Na hapo hata labour huendi kwa kuwa huo ni aina ya uzembe ambao waajiri wengi hawawezi kuvumilia. Ni sawa na kuendesha gari bila kucheck engine oil.
Hahahaha ukiuziwa range ina engine ya benz kosa lako au la range maker.mi nimeajirwa na wakala wa airtel sio airtel direct na wakala huyu haja nipa line ya kazi mi nifanyaje na kazi nataka
Asante mkuu ila malipo hayo kidogo sana. Kwa nini wasilipe kamisheni kulingana na volume ya pesa inayoingia na kutoka. Unaweza kuwa na wateja kumi wa viwango vya milioni 20 kwa siku wakati mwenzako ana wateja mia wa viwango vya milioni tatu kwa siku. Jamaa wa kwanza atakuwa anawaingizia Airtel faida kubwa zaidi kuliko jamaa wa pili. Kwa utaratibu uliyouonyesha jamaa wa kwanza atakuwa anapunjika zaidi kuliko jamaa wa pili.
Kwenye red Kwa muda wote mimi nimekuwa nikielewa kwamba kufanya kazi na Airtel, Vodacom,Tigo au mtandao wowote hakumwondolei mhusika haki zake za msingi za kujiunga na mtandao wowote aupendayo na ndiyo maana sijashangaa hata kidogo mara kadhaa nilipokutana na jamaa zangu wafanyakazi katika moja ya mashirika hayo wakinipa contacts zao zinazo include za mitandao ya wapinzani wao kibiashara. Kwa hiyo mi namwona kama mtu ambaye hajakosea lolote kwa maana wakala si lazima awe mwajiriwa wa moja kwa moja na mtandao husika.Umepotea jukwaa ungekwenda kuleeee!! matangazo madogomadogo sio huku mkuu, tutaona kama hauko serious kwamba staff wa Airtel kuwa na line ya tigo si ajabu tatizo ni pale unapotangaza biashara ya mwajiri wako at the same time unamtangaza mshindani wake kibiashara!
Ningekuwa ni mimi niliyekupa hiyo kazi ningekupiga bonge la BAN! Na hapo hata labour huendi kwa kuwa huo ni aina ya uzembe ambao waajiri wengi hawawezi kuvumilia. Ni sawa na kuendesha gari bila kucheck engine oil