Habari...
Mim ni mhitimu wa ngazi ya cheti kitengo cha Computing and Information Technology mwaka 2014 july. Ninapenda kuchukua nafas hii kuomba msaada kwako ww msomaji wa ujumbe huu, mm ni kijana wa kiume umri wa miaka 23 ni mzaliwa wa MISSENYI-KAGERA. Nipo Dar tangia mwaka 2011 baada ya kumaliza kidato cha nne mwaka 2010. Maisha yangu ya hapa mjini yamekuwa ya misukosuko ya kila aina (matus, kejeli manyanyaso) lkn cha kumshukuru Mungu nimepata angalau elimu kidogo CERTIFICATE in COMPUTING AND INFORMATION TECHNOLOGY ni kiwa na SECOND CLASS ya 3.4GPA.
Ndugu zangu naomba msaada wenu wa kuweza kunipatia kiajira (kazi) niweze kuondokana na kufanywa house girl, maisha ninayokaa ushemejin n shida na tabu kbsa. Ndoto ya kuendelea na diploma imeisha kwan naona hamna kulingana na maisha ninayoishi ss.
NI MENGI SANA YANAYONISIBU, NAOMBA MSAADA WENU
0752 015710.