...mkubwa,...kuna zile Resentments zitokazo na "niache, sikuachi!.." au "nakuacha, sitaki!.." hizo mara nyingi 'kushereheka' inakuwa furaha ya upande mmoja. Ajabu ya kuachana kwa namna hii, baada ya muda kupita na busara kuwaingia akilini, mhusika mkuu anagundua kumbe alijing'ang'aniza bure tu kung'ang'ania tanga lililokwisha chanika. Safari ya maisha yaendelea hata kwa makasia!
Lakini mnapofikia mutual agreement ya ku separate kwa maslahi ya pande zote mbili, hapo kuna uwezekano hata wa kukaa chini na kupongezana kufikia maamuzi ya kiutu uzima.