Mhhh jamani mtatuua

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
5,122
Reaction score
9,222
hawa wadada mbona wanajinafasi wenyewe jamani na huku vidume tunahaha kuwatafuta bila mafanikio jamani week end hiii mtatuua na UKWARE.
mnavaa vinguo vyakututamanisha tukitamanika mnatuacha na majanga mwee

mhhh ndio hivyo Miziki wanaume tumeumbwa kutamani
mbona hata wewe nishakutamani sasa maana hiyo avat yako mhhhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Ningetokea hapo naanza na huyo wa kushoto
 
Pamoja na ripoti yenu ya UN juu y kuambukizwa virusi vijana 50 kwa Kila dakika 60 bado mnashabikia alafu mnaoshabikia haya kwenye ule uzi wa Ukimwi sikuwaona hata mmoja ...mlivikimbia vivuli vyenu siyo? tutawazika tu.
 
Chief angalia bana au na we padre?maana kama sivyo basi kama si wewe hata mwenzako aweza kulete hiyo kitu.
 
LEGE, Oyaoya kaa ukijua starehe gharama, oyaa kaa ukijua starehe gharama,..... usipende mademu wa bure wana madharaa!!!!!!!!!!!!!. Dedication to u!.
 
Jikinge na ukimwi ondoa mkono wa sweta, hawafundishi oweni na oleweni we unafikiri ukimwi utaisha?
Pamoja na ripoti yenu ya UN juu y kuambukizwa virusi vijana 50 kwa Kila dakika 60 bado mnashabikia alafu mnaoshabikia haya kwenye ule uzi wa Ukimwi sikuwaona hata mmoja ...mlivikimbia vivuli vyenu siyo? tutawazika tu.
 
Matangazo yote haya bado kuna watu hawajui ukimwi ni nini
 
mhhh ndio hivyo Miziki wanaume tumeumbwa kutamani
mbona hata wewe nishakutamani sasa maana hiyo avat yako mhhhhhhhhhh
Mmmmmmh! Hizo genye zako hazina breki, hata avatar unatamani?
 
watanzania tunazidi kupungua badala ya kuongezeka.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…