mhhh! BAADA YA CUF ,SASA CHADEMA


Eti mchambuzi wa sayansi ya siasa!! My foot!!!
 
Dua la kuku alimpat mwewe asante sana mwana ccm umejitaid wamekupa shilingi ngap
 

Huko kwenye nyekundu ni kwamba umeonyesha udhaifu mkubwa sana. Kwa nini unajihisi? Mtu yeyote asiyejiamini siku zote anachokiongea huwa hakiwezi kutuliwa maanani.
 
Ni ukweli usiofichika kwamba demokrasia yetu kama nchi bado ni changa sana. Wafuasi wengi wa vyama vya siasa wapo kwa sababu ya kutafuta kula na njaa zimetawala vinywani mwao. Wanasiasa wengi pia wako kwenye vyama vya siasa siyo kwa sababu wana uchungu na nchi yetu na wanataka kuleta mabadiliko, bali ni kwa sababu wameona ndiyo namna yao ya kula na kuendesha maisha yao. Chadema kimefanikiwa kuwakusanja wanasiasa wanaoonekana kuwa makini na ninaamini kwamba kwa sasa bado wana uwezo wa kuyakabili matatizo ya makundi na kimaslahi ili kuweza kujenga chama imara. Ila huko mbeleni changamoto ni kubwa siyo kwa chadema tu bali hata kwa chama tawala na vingine. CCM wana hali mbaya zaidi hasa watakapoondoka madarakani.. kwa urahisi sana yanaweza yakawakuta yaliyowakuta wenzao wa Kenya---KANU. Fikra za chadema kuanzisha chuo chao cha uongozi ni nzuri sana na inabidi watumie hela wanayopata sasa hivi pamoja na wapenzi walionao kuweza kukamilisha ndito hiyo, ili hapo baadae viongozi wao wawe wamepikwa katika chungu kimoja na wakaiva vizuri, wajue wanatetea nini, falsafa yao ni ipi na pia adui wao mkubwa ni nani. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu kibariki CHADEMA na Viongozi wake!!
 
Siyo lazima cdm iwe kama maji, kufuata mkondo wa cuf.
 
Aka kambumbu kametoka wapi!!!hana akili ata1,nanisha ata yakisafisha seemu zilizo fichwa namakalio.
 

Mkuu mwenye mapendekezo/ushauri huwa anayaweka bayana,mwenzetu ameiandika hii thread kwa matarajio ya kusubiri mgogoro ili aje kusema alitabiri/alishauri cku nyingi.Atasubiri sana mkuu,msamehe bure.
 

Wewe unashauri nini kifanyike? Kama umesoma tafiti nyoingi kama unavyotuhabarisha je!,ni nini unatala kutunufaisha nacho kama mshauri?
Kama huna jambo basi na wewe ni another Gamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…