azyzy omary
JF-Expert Member
- Dec 8, 2020
- 874
- 1,309
Heshima ya maneno, I swear ukiwa na pesa unaheshimika....Hata asipokuwa na hela heshima ni haki yake.
Hebu nipe mfano mmoja wa mwanamke mwenye hela anaheshimiwa ni mumewe kwa sababu ana hela.Heshima ya maneno, I swear ukiwa na pesa unaheshimika....
Hapana nini?Hapana
You are the one of feminist males. Tumeshawajua! Acheni kuwaweka wanawake chamboHayo ni mawazo yako.
"Mwanaume mbele ya mwanamke usijtie uanaume na wewe vaa uanamke mtaenda sawa, ukijitia mbabe kila mwanamke ataingia mitini..."Hio energy kuna wanaume imewajaa ambapo hupelekea kua km wanawake, ukitaka kua na mwanamke inabidi uwe mwanamke unapoona ndoa usidhani wanaoana pale ni mwanaume na mwanamke hell no but mwanaume amejivua uanamume amevaa energy ya mwanamke yuko absorbed with feminine energy anapoteza masculine energy aliyonayo kwa ajili ya kumpendezesha na kukuridhisha mwanamke,
Ndio maana mtoa mada anakazia unapokua na mwanamke ndani na wewe inabidi uwe na tabia za kike kike (feminine) ili muweze kwenda sawa, jivue u masculine wako then kua soft soft, mdekeze, mchekee, usimfokee, usimseme vibaya, usimkemee, usimkalipie, usimpige makwenzi na mangumi, usimzodoe, usimcheke, na usimchezee vibaya, usimpige mbele za watu, usimseme vibaya mbele za watu, usimkaripie mbele za watu, thamini muda wake, mfanye atabasamu kila unapokua nae
Mwanaume mbele ya mwanamke usijtie uanaume na wewe vaa uanamke mtaenda sawa, ukijitia mbabe kila mwanamke ataingia mitini, usichokijua ni wanapenda kupokea kuliko kutoa na hawapendi kupokea vibaya wanapenda kupokea vizuri tu, mpe gari, mpe nyumba, mpe kiwanja, mpe mtaji, mpe biashara, mpe kiwanda, mpe kampuni, atapokea kwa mikono miwili mikunjufu, mwanamke ameumbwa kupokea, mpe mbegu kwenye yai lake atakuletea mtoto.
Future is Female nani anakataa?
Sawa mkuu Ila sijamaliza hapo nimeishia kwenye kiulizo, km umekubari basi na wewe utakua umemaliza na kuashiria hilo inaonyesha wazi kua wewe pasinashaka yoyote wala kukoleza maneno wewe ni mwanamke.Sijui jinsia yako ila ...👇👇👇 ...hasa kama ni mwanamke 😁
Siku akikuchoka ndio utajua nini nmemaanisha, endeleza kua mbabe ukiwa unamtomba mchape makosi mtie mangumi, namna hio au sio yaani usimletee mahaba kabisa piga mangumi huku unamtia mfumue unavyoweza Ila siku moja utaleta simulizi humu, km hufanyi hivyo basi itakua haujanielewa na una tabia za kike, umenisoma kwa kukurupuka na mihemko hujitambui na hujui nini nimemaanishaLabda wa kwako ndiye atakayeingia mitini. Siyo wa kwangu mimi.
Mimi ni mbabe na sijajifanya mwanamke kama wewe, na mpenzi wangu ananikubali the way nilivyo.
"endeleza kua mbabe ukiwa unamtomba mchape makosi mtie mangumi, namna hio au sio yaani usimletee mahaba kabisa mfumue unavyoweza"Siku akikuchoka ndio utajua nini nmemaanisha, endeleza kua mbabe ukiwa unamtomba mchape makosi mtie mangumi, namna hio au sio yaani usimletee mahaba kabisa mfumue unavyoweza Ila siku moja utaleta simulizi humu, km hufanyi hivyo basi itakua haujanielewa na una tabia za kike, umenisoma kwa kukurupuka na mihemko hujitambui na hujui nini nimemaanisha
Sio utahira hio ndio maana halisi ya mwanaume km hufanyi hivyo wewe una vinasaba vya uanamke,Huo ni utaahira na si hulka yangu. Ninamuheshimu mno na ninasimama mno kwenye nafasi yangu ya uanaume. Na anajua hilo.
[emoji16][emoji16][emoji16]Kaka haina haja ya kutumia nguvu kiivyo kuwanasa mabinti wa humu JF.
Anyway kama umeona hii ndio njia pekee na sahihi hakuna tabu watakuja tu PM.
Sasa kwa nini umpige kwenye tendo la ndoa? Kakukosea nini? Unamtukana bila sababu kakukosea nini? Mimi sipo hivyo, huenda nikawa na vinasaba vya kike.Sio utahira hio ndio maana halisi ya mwanaume km hufanyi hivyo wewe una vinasaba vya uanamke,
Ndio nilichokizungumzia kua wanaume wana vinasaba vya uanamke, kumbe ulijibu kwa kukurupuka, ili uende sawa na mwanamke uwe na vijitabia vya kike, elewa hivyo mkuu ukiona unaenda sawa na mke jua wewe una vijitabia vya kike ambavyo vinamvutia mkeo, ukileta tabia za kiume au kiuanamume lazima mtatibuana tu tena haitachukua muda mrefu kukulalamikia na kukuona humfaiMimi sipo hivyo, huenda nikawa na vinasaba vya kike.
Nimechukua mpendwaChukua Like
Sasa we' unaogopa kulalamikiwa?Ndio nilichokizungumzia kua wanaume wana vinasaba vya uanamke, kumbe ulijibu kwa kukurupuka, ili uende sawa na mwanamke uwe na vijitabia vya kike, elewa hivyo mkuu ukiona unaenda sawa na mke jua wewe una vijitabia vya kike ambavyo vinamvutia mkeo, ukileta tabia za kiume au kiuanamume lazima mtatibuana tu tena haitachukua muda mrefu kukulalamikia na kukuona humfai