Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
- Thread starter
-
- #41
Mbona tayari umemuombs [emoji23][emoji23]Naomba ufungue pm mara moja nikuombe hela nipo serious katika hili
Na huwa wanafurahia ubishiTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Hamna nataka kumuomba kwa ustadi zaidi πMbona tayari umemuombs [emoji23][emoji23]
Subiri muamara utasoma baadae kidogo
Kuna mke na kuna hawala, umeweka msingi wapi?Unamheshimu halafu yeye anakudharau na anakuona bwege
Ina maana tangu saa ile hajafungua pm?Hamna nataka kumuomba kwa ustadi zaidi [emoji16]
Hayo ni mawazo yako.Kweli kabisa. Hii ya kuwasingizia wanawake ni kama chambo tu. Real feminists are males(traitors)
Because I'm retired mnyatuzu [emoji16]Unataka tuache mada yako hii tena tuanze kujadili "upuuzi" wa Wanyantuzu wa kutokula pamoja na wanawake? [emoji15][emoji15][emoji15]
Halafu hii mila ya "kipuuzi" mbona ni ya kawaida tu kwa makabila mengi hapa Tanzania, Afrika na hata sehemu nyingi duniani?
Why are you singling out Wanyantuzu?
Hata asipokuwa na hela heshima ni haki yake.[emoji16][emoji16] dah labda huyu mke awe na hela sana awe na mpunga yani....
Hio energy kuna wanaume imewajaa ambapo hupelekea kua km wanawake, ukitaka kua na mwanamke inabidi uwe mwanamke unapoona ndoa usidhani wanaoana pale ni mwanaume na mwanamke hell no but mwanaume amejivua uanamume amevaa energy ya mwanamke yuko absorbed with feminine energy anapoteza masculine energy aliyonayo kwa ajili ya kumpendezesha na kukuridhisha mwanamke,feminist wa kiume
Sijui jinsia yako ila ...πππ ...hasa kama ni mwanamke πHio energy kuna wanaume imewajaa ambapo hupelekea kua km wanawake, ukitaka kua na mwanamke inabidi uwe mwanamke unapoona ndoa usidhani wanaoana pale ni mwanaume na mwanamke hell no but mwanaume amejivua uanamume amevaa energy ya mwanamke yuko absorbed with feminine energy anapoteza masculine energy aliyonayo kwa ajili ya kumpendezesha na kukuridhisha mwanamke,
Ndio maana mtoa mada anakazia unapokua na mwanamke ndani na wewe inabidi uwe na tabia za kike kike (feminine) ili muweze kwenda sawa, jivue u masculine wako then kua soft soft, mdekeze, mchekee, usimfokee, usimseme vibaya, usimkemee, usimkalipie, usimpige makwenzi na mangumi, usimzodoe, usimcheke, na usimchezee vibaya, usimpige mbele za watu, usimseme vibaya mbele za watu, usimkaripie mbele za watu, thamini muda wake, mfanye atabasamu kila unapokua nae
Mwanaume mbele ya mwanamke usijtie uanaume na wewe vaa uanamke mtaenda sawa, ukijitia mbabe kila mwanamke ataingia mitini, usichokijua ni wanapenda kupokea kuliko kutoa na hawapendi kupokea vibaya wanapenda kupokea vizuri tu, mpe gari, mpe nyumba, mpe kiwanja, mpe mtaji, mpe biashara, mpe kiwanda, mpe kampuni, atapokea kwa mikono miwili mikunjufu, mwanamke ameumbwa kupokea, mpe mbegu kwenye yai lake atakuletea mtoto.
Future is Female nani anakataa?
Tayari bageshi. Kuko wazi πππNaomba ufungue pm mara moja nikuombe hela nipo serious katika hili
Hapo hapo kabisamdekeze, mchekee, usimfokee, usimseme vibaya, usimkemee, usimkalipie, usimpige makwenzi na mangumi, usimzodoe, usimcheke, na usimchezee vibaya, usimpige mbele za watu, usimseme
Ni mwanaume
Bro,umetisha huu ni ujumbe mzito sana,Kuna utakatifu ndani yake,Kamwe usihoji kuhusu akili ya mkeo. Thamini maoni na maamuzi yake. Ongea naye kwa heshima. Kamwe usimkosoe hadharani. Heshimu haki zake za faragha. Msikilize mwanamke wako. Weka simu yako kando na uzime TV na uwe na 100% kila unapokuwa na mazungumzo naye.
Vikwazo vyote weka nje na msikilize mkeo kwa masikio yako, moyo na akili. Thamini kile anachothamini kama vile, Kucha, nywele, urembo na mavazi mapya. Usichukue maslahi yake. Saidia matarajio yake ya kazi. Heshimu maisha yake ya kiroho na mtindo wake wa ibada. Mfanye kujisikia salama mbele yako. Vitisho, vitisho na ubabe tupa mbali.
Mambo ya ExtraMarital ni udhihirisho wa juu wa kumheshimu mke wako.
Ni nani aliyekudanganya kwamba mwanamke ni chombo tu cha kukupa burudani? Acha kudanganyika tambua kuwa mwanaume asiye mheshimu mkewe ni mdhaifu katika mambo mengi.
Usikubali kuwa mdhaifu.
Ubarikiwe.
Amen!!Bro,umetisha huu ni ujumbe mzito sana,Kuna utakatifu ndani yake,
Nilichogundua,ukianza kumpa heshima mkeo,hata kwa mawazo yako,badala ya kumuwazia mabaya,asipopokea cm,muwazie mazuri,hata kama yupo mbali ile hari itamfikia tu,"telepassic"
Kufanya ngono ni uamuzi wako ila kupata mtoto ni matakwa ya Muumba!Huyu Fala na Umalaya wote ule, lakini hajaacha hata katoto ka kusingiziwa Bana!!
Maisha unayoyasema ni ya kwenye tamthilia, unawajua wanawake was kitanzania kweli? Au wewe upon Amerika? Ukitaka ndoa idumu Tanzania tumia udikiteta, mambo ya baby sijui umekula mini hayo waachie wafilipino.Kuna mke na kuna hawala, umeweka msingi wapi?