sio vice versa?!?!
mie niliomba tenda kwenye kibao kata, henna party, kitchen party et al
Kwani na wewe unammezea mimate Madame b?
Hana ubavu wa kuniacha.
Mie mwanamke Rijali.
mimi ndo nammezea mate pedeshee nipo hapa!!!
Na alipokutwanga Loya talaka 25 ulikua Unrijali au? Unakumbuka ulivyochanganyikiwa wkt Loya anakumwaga?
mh! Hapo hasaa ndipo ninapo papenda!!
anatafakari..n huu ni upepo tu,utapita
oooh kumbe komando wa ngerengere aitwa kiplagati26? nilikuwa sijalisoma vizuri jinale! Madame B uje upelekwe Sandton au oriental plaza
ha ha ha