Mheshimiwa Rais Usirudie kusema " Serikali haina Shamba"

malisoka

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,860
2,639
Mheshimiwa Rais Usirudie kusema " Serikali haina Shamba" ni Lugha kali mno kwa wananchi waliokuchagua. Tupunguze ukali wa maneno lakini si hivyo.

Serikali unajitoa kabisa katika Jukumu la kuwalinda na kuwatunza wananchi wako.
 
Kuna watu jukumu la kuongoza familia limewashinda wataweza wapi kuongoza mamilioni ya watu ambao kila mtu anamatatizo yake
Hii ni tamu kwangu balaaaaa,full kucheka.
 
Mheshimiwa Rais Usirudie kusema " Serikali haina Shamba" ni Lugha kali mno kwa wananchi waliokuchagua. Tupunguze ukali wa maneno lakini si hivyo.

Serikali unajitoa kabisa katika Jukumu la kuwalinda na kuwatunza wananchi wako.

Shamba la serikali ni kodi za wananchi. Ni lazima srikali itambue kwamba inawajbiu wa kupanga vizuri matumizi ya mavuno yake bila kusahau akiba za dharura kama vita, njaa, majanga ya asili na maradhi ya milipuko. Kinyume cha pale, ni mwanzo wa matatizo makubwa.
 
Hivi wale walalahoi anaosema anawatetea wanaishi SAYARI GANI?
nauliza tu....serikali haitoi chakyula
 
Shamba la serikali ni kodi za wananchi. Ni lazima srikali itambue kwamba inawajbiu wa kupanga vizuri matumizi ya mavuno yake bila kusahau akiba za dharura kama vita, njaa, majanga ya asili na maradhi ya milipuko. Kinyume cha pale, ni mwanzo wa matatizo makubwa.
Pia haina magonjwa.
 
Meth28:16
Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu wake sana, Bali achukiaye kutamani ataongeza siku zake.
Hivo ndivo ilovo yanaitajika maombi kuombea angalau akili ziludi katika akili ya utimilifu na sio kama sasa hvi watu wanajitoa ufahamu
 
Back
Top Bottom