kupe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 1,036
- 330
Abiria wamejazana ubungo. Magari binafsi yapo tayari ubungo kupata vibali vya muda kama. Miaka yote ila wao LATRA wanasema hawana vidhibiti mwendo. Kifupi hawa watu hawakujipanga wakati inajulikana miaka yote issue ya December na shida ya usafiri. Lakini wao wako na magari yao binafsi kukamata daladala wapate rushwa za laki laki. Wakiombwa vibali vya muda hawatoi. Ukiwa uliza sababu hawakupi.