Mheshimiwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete akiwa Davos

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
7,121
10,231
Anasema wamezindua Baraza la kupambana na Malaria tucheze kete yetu!...
Screenshot_2017-01-22-21-15-54.png
 
Jakaya Rudi Nchini haraka sana Vyama vyako vya ACT na Chadema mpaka sasa Wana kata mbili tu katika Uchaguzi wa Marudio,

1) kata line za Vodacom ( Chadema)

2) kata ya Kumg'oa Rais Bungeni ( ACT)

Maeneo mengine yote 'kura' zao zimeibiwa
 
Back
Top Bottom