Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Kwani ushirikina una wakati? Hii ni dhahiri hujui maana ya ushirikina.
 
wenzetu ulaya askari mmoja akiuawa raisi anacancel trip zake anarudi uyu ndo kwanza alienda kupiga vigelele soldiers wetu walivyokuwa wanaagwa
yani hata shetani huwa anapretend kuwa mwema na kufariji kinafiki ila uyu uwiiiiiiiiiii c mwezetu
Wale huwa wanajali utu wa mtu
 
Mbona mwalimu nyerere alikuwa hahudhurii mnataka kuanzisha tabia gani.mwakamu wa rais ndio moja ya kazi zake.
Hayo mengine si husiani nayo ila Mwalimu JK Nyerere alikuwa anahudhuria yeye binafsi misiba yote inayoitwa ya kitaifa na misiba hiyo alikuwa anaitangaza yeye binafsi kupitia vyombo vya habari vya wakati huo kuujulisha umma kwamba tumepatwa na msiba mzito kama Taifa na maelekezo ya nini kitakachoendelea na kitasimamiwa na nani/wakina nani katika kufanikisha shughuli nzima(na nikukumbushe tu kabla hajàongea ni lazima wimbo wa Taifa upigwe ukiashiria kuna jambo kubwa kiongozi wa nchi anataka kusema)sio misiba tu bali hata maadhimisho yoyote ya kitaifa àlikuwa anahudhuria yeye binafsi
 
Leo nimeamini mleta mada upo ambavyo unasemaga upo. Hongera sana. Mungu akubariki

Na sitobadilika ' Milele ' kuwa ' Neutral ' hasa katika ' Hoja ' za msingi kabisa humu JF kwani hakuna jambo ninalolichukia duniani kama kuwa ' Mnafiki ' na ' Mwongo ' na namshukuru sana Mwenyezi Mungu na malezi niliyokuzwa hadi leo nipo hivi hayakunikuza Mimi nije kuwa hivyo ( mnafiki na mwongo ) na siku zote nitakuwa ' nanyoosha ' tu hata kama ' ukweli ' wangu utakuwa unawakwaza na kuwanyima ' usingizi ' wengine. Naongozwa na ' utashi ' wangu binafsi wa Kifikra unaohusu Mama Tanzania na kamwe siongozwi na msukumo wa Kisiasa au Chama au Mtu.
 

Kukaa IKULU na kuangalia ' mubashara ' uagwaji wa Marehemu na ' kutwiti ' mtandaoni kuwa nae amelia ndiyo hayo ' Maendeleo ' yako unayosema anayafanya? Mkuu tafadhali sitaki ' nikudharau ' halafu ukajiona Mtu usiye na thamani tena hapa duniani. Kajifunze kujenga ' Hoja ' na ukishakomaa kisawasawa urudi tena humu ili tukupime kama ' umekwiva ' au bado sawa?
 
Unaonekana umechoka kumtetea badala yake si uchane nae kwanini unataka povu kwani umelazimishwa na nani kumtetea kama unavyodai?
 
ninyi mnata rais ahudhirie kila tungtion

Sasa hata kuandika kwenyewe tu vizuri hujui, je utajuaje tunachokijadili hapa? Wakati unatuandikia huu ' Upupu ' wako ulikuwa unaharikisha kwenda kushusha ' Kitu ' Maliwatoni au ulikuwa umeazima Gadget ya Mtu hivyo mwenyewe alifika na kutaka ' kukunyang'anya ' hivyo ukaona ' utiririke ' ki hovyo hovyo hivi?
 
Inakuhusu nini aibu yake? besides ni faida kwenu mchukue nchi kwa kutake advantage maana yake robot mamvi alikuwepo na mwenyekiti wa ukawa pia alikuwepo. Au unampenda Sana magufuli?
 
wenzetu ulaya askari mmoja akiuawa raisi anacancel trip zake anarudi uyu ndo kwanza alienda kupiga vigelele soldiers wetu walivyokuwa wanaagwa
yani hata shetani huwa anapretend kuwa mwema na kufariji kinafiki ila uyu uwiiiiiiiiiii c mwezetu
Hapa ulaya?
 
Magufuli si Msukuma. Ni Mnyambiti.

Na wala siyo Mnyambiti bali kiuhalisia kabisa ni Msubi narudia tena kwa msisitizo na kwa kujiamini kabisa kuwa Rais wako anatoka katika Kabila wa Wasubi wanaotoka pale Chato na huo usukuma ni ' Turufu ' ya Kisiasa ambayo ilitumika kusudi kuweza ' kuwateka ' Kiakili Wasukuma ambao ' Geographically ' wako maeneo mengi ya nchi na pia ndilo Kabila ambalo kwa hapa Tanzania lina ' Utani ' karibu na Makabila mengine mengi tu hivyo ilikuwa rahisi mno Kwake Yeye kupata uungwaji mkono mkubwa wa Kieneo. Naomba niishie hapa tafadhali ila nimalizie tu kwa kurudia kusema kuwa JPM siyo Msukuma as such bali ni Msubi Kikabila.
 
Unaonekana umechoka kumtetea badala yake si uchane nae kwanini unataka povu kwani umelazimishwa na nani kumtetea kama unavyodai?

Anatugharimu hivyo tunajitahidi kumuweka sawa na pengine inawezakana mwenzetu Wewe upeo wako wa ' Kufikiri ' unaishia tu Chooni kwa kujua Kunya na Kujitawaza na huku Kwingine ambako kunahitaji matumizi makubwa ya akili zilizotukuka hupawezi hivyo ndiyo maana huoni ' tija ' ya sisi kumlaumu kama siyo kumshangaa.
 
cha kushangaza kwenye ufunguzi wa kitu lazima aende ila kwenye misiba anatuma wawakilishi, kwani kwenye ufunguzi si angekuwa pia anatuma wawakilishi ili tujue yupo busy sana.
Apo sasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…