Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Wewe, Hitler, Himmler, Stalin na nduguyo wote mna roho inayofanana, isiyojali nafsi ya mwanadamu mwingine. Alama hiyo ya "NAZI PARTY" ni udhihirisho.
 
Ahaaaa...acha kulia na kutoa povu hivyo Dogo.
Makamanda hatuteteleki. Hapa kazi tu.
Wewe, Hitler, Himmler, Stalin na nduguyo wote mna roho inayofanana, isiyojali nafsi ya mwanadamu mwingine. Alama hiyo ya "NAZI PARTY" ni udhihirisho.
 
Acha kumtetea ata kama angelia kuna mtu ambae angemshangaa analia nini......... Tuliekuwa tunamshangaa bashite alilia kanisani baada ya kuambiwa atoe vyeti ila ule ni msiba akilia hakuna wa kumshangaa.

Lazima tu hiyo picha Analia ingetumika ndivyo sivyo...hahahahaha.....
 
Nimecheka sana jibu lile
 
Si huwa anaenda mingine jamani!! Kama nakumbuka vizuri alienda kwenye msiba wa Dr. Didas masaburi.
Alienda kule kwa nia ya kutangaza kitaifa matamanio/ nia ya kuwa kama mfalme Solomon( kuwa na wake /wanawake wengi)

 
Minahisi kwa Raisi kuhudhuria ama kutohudhuria misibani, ni kutokana na mipango tu kama msiba mwingine ataona bora aende yeye mwenyewe au atume wawakilishi bado ni sawa ilimradi uwepo wake upo.......ajali hazina taarifa zinaweza zikafululiza kama ni lazima yeye mwenyewe kuwepo, shughuli atakuwanayo lasivyo atapata lawama za ubaguzi.............

Inabidi tuangalia na upande wakimuendelezo Zaidi kana kwamba hii haitakuwa ajali ya mwisho na wala sio ya kwanza........
 
Msukuma hasiti kuhudhuria misiba, na wana sheria kali sana kwa yeyote asiyehudhuria misiba.

Huyu bila shaka sio Msukuma halisi. Nadhani ni MSUKUMA DIASPORA.
 
Kama ni utashi, basi ni utashi wa KIPUMBAVU.
 
Anakaaa ukulu kupanga jinsi ya kutapanya fedha, ivi Mayenga ndio wa kumhonga Ambulance, Au Kessy aliyewaambia Roma angeuwawa kabisa Lisa kakutukana Leo unampa ambulance kama zawadi. Watanzania tumelogwa.
 
Kule usukumani usipoenda msibani unapigwa faini(Nchenya)

Usipolipa faini unatengwa (Gutulijwa)
 
mwacheni huwezi jua amepatwa na nini? ni mtu mzima yule anajua anachokifanya mbona kagera alienda baadaye kusalimia labda ana moyo mwepesi analia zake ndani, kumuona rais analia nje aibu nayo...mwacheni akipata nguvu atakuja kutoa pole.
Ni upuuzi na upumbavu wa kiwango cha juu kumtetea juu ya hili.

Huyu mtu hana utu na wala hana huruma na wananchi wake hata kidogo.

Yeyote anayethubutu kumtetea kwa jambo hili, hana fikra sahihi.

Sijisikii vibaya kutamka kuwa hatuna Rais bora bali tuna bora Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…