Mheshimiwa Peter Msigwa Live Magic FM

Mheshimiwa Peter Msigwa Live Magic FM

Nimeupenda ushauri wake kwa middle class....kuwa watu watabaka hili wanapenda kuwa spectators na kuwashauri wengine ungefanya hivi...huku wao wakijificha na vigari vyao na vinyumba vyao.....
Amewataka wajiunge na ukombozi....Chama watachagua wenyewe ila cha muhimu waingie watu wenye reasoning katika uongozi!
ASANTE MSIGWA.
 
anashuka mistari kwako..jamaa anaongea flat tuu yan ahamasishi mtu kuendelea kumsikiliza inshort hana jipya uwez compare kabisa na tundu lissu alivoongea last week sema ndo ivo uwezo watu wanatofautiana...sina chama mkuu me nasikiliza kitu anachoongea mtu sifuati upepo kibwegebwege tuu

Haya kachukuwe buku 7 lumbumba.
 
Msigwa naye huwa anaongea pointi au ndiyo kujikanyagakanyaga tu. Bora kujinywea ulanzi kuliko kumsikiliza mpuuzi huyu hatusaidii lolote siye vijana. Mambo ya kukimbizana huko mahakamani mie machinga yananisaidia nin.... Watu wengine bana.
 
anashuka mistari kwako..jamaa anaongea flat tuu yan ahamasishi mtu kuendelea kumsikiliza inshort hana jipya uwez compare kabisa na tundu lissu alivoongea last week sema ndo ivo uwezo watu wanatofautiana...sina chama mkuu me nasikiliza kitu anachoongea mtu sifuati upepo kibwegebwege tuu
..........Unafuata upepo kibwegebwege ila hujitambui tu!
 
Back
Top Bottom