TinyMonster
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 242
- 154
Mheshimiwa Peter Msigwa yupo live kwenye kipindi cha Makutano na Fina Mango, msikilize kupitia link hiyo hapo chini
[video]http://ustream.tv/channel/makutanoshow[/video]
wewe ni ------,kwani kuongea kiingereza ni kosa?acha ugamba ww,dogo anashuka mistari si mchezo.jinyonge basi..vituo ni vingi vya kusikiliza,hama kituo.Kwel uwezo unatofautiana last week katika hiki kipindi alihojiwa Tundu lissu..yaan wakati namsikiliza tundu lissu kwa jinsi alivopangalia maneno na jinsi alivokua anajibu nilikua naona kama mda ni mdogo na hautoshi yani alikua anatoa jiwe anaweka nondo..sasa uyu msigwa leo sioni hata cha maana anachoongea ndo kwanza sa 11 na dk 28 naona hata mda hauendi anaongea pumba tuu kazi kuleta vingereza tuu ambavyo hata havisaidii..kwel tundu ni jembe
Mafic fm ya Ubelgiji?
wewe ni ------,kwani kuongea kiingereza ni kosa?acha ugamba ww,dogo anashuka mistari si mchezo.jinyonge basi..vituo ni vingi vya kusikiliza,hama kituo.