Mheshimiwa kakatwa jina aisee

...wamekataaaa aaaahhh na yale mabilioni itakuwaje sasa....
 
Duu hapo ni jina tu ndo lililokatwa, ingekuwa amekatwa kichwa ingekuwaje?
 
wakikata jina langu "nchi itatikisika".kwa sauti ya kigugumizi ya EL.
 



Haaa haaaa hapo mhusika lazima nywele zitetemeke.
 
​Natamani iwe hivyo ili niijue afya yake inauimara wa kiasi gani
 
​Natamani iwe hivyo ili niijue afya yake inauimara wa kiasi gani

Hahahaa, umeshafaham uimara wake mkuu au bado bado kidogo unafanya research kiongozi...?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…