Tuliikata rasimu ya katiba ya Jaji Warioba. Wa aina kama hizi ndiyo waliongoza kuikataa kwa sababu waliona ikija ile katiba jinsi ilivyokua imeandaliwa, ingewaengua kama siyo kukiengua chama chakavu chenyewe.Yaaani sisi tuna utani, yaani tunachukua mtu anayejua kusoma na kuandika basi afu kiswahili, afu huyo ndo anaenda kua mtunga sheria bunguni tena sheria zinaandikwa kwa kiingereza
Babu Tale atasaidia mambo ya tunguli pale bungeni!Hivi kweli kutoka nafsi ya moyo wako unaweza kumlinganisha huyu na Sugu? Au hata na Msukuma? Au na Kibajaji? Huyu jamaa anajijua jinsi alivyoshinda huo ubunge. Kuna wagombea wengi wa chadema na vyama vingine vya upinzani walienguliwa eti kwa "kukosea" kujaza forms. Type hii ndo walionekana kufaa.
Maendeleo hayana vyama.
Nadhani wakati umefika hata wabunge kabla ya kupitishwa vigezo japo vya namna fulani viwe vinaangaliwa na si tu [[ajue kusoma na kuandika na awe na Miaka zaidi ya 18]]Babu Tale atasaidia mambo ya tunguli pale bungeni!
Ipo haja ya kuwapiga kiberiti majambazi wa kura woooteeGenge la wahalifu limekusannyika, over 99% ni wezi wa kura kwa kusaidiwa na TISS, Jiqwe, Mahela , Kaijage DEDs etc
Kidogo kidogo tutaelewana tu. Siku hizi nimeanza kukuelewa mkuu. Hadi tufike 2025 tutakua kwenye wimbo mmoja.Babu Tale atasaidia mambo ya tunguli pale bungeni!
Duh!wewe unatafuta kesi hatutakuteteaBabu Tale atasaidia mambo ya tunguli pale bungeni!
Ulitegemea cha maana toka kwa mtu aliyetoa mke wake?View attachment 1695799
Aliyemuelewa huyu mheshimiwa Babu Tale meneja wa Wasafi ambaye kwa sasa ni mbunge,aeleweshe na wengine
Ahahaha ndio kesha kutolea posa sasa.Babu Tale alifaa kuwa CHADEMA na akina Sugu!