Mhere mwita autishia mgodi wa geita

Mhere

Member
Dec 30, 2013
17
0
Akiwa katika kijiji cha Samina mkoani Geita Ndugu mhere Mwita ndipo alipokutana na wanafunzi wa Shantamine wakipata aza ya usafiri ndipo aliwaambia wanafunzi hao kama serikali isiposhughulikia tatizo hilo pamoja na Mgodi wa Geita basi ataitisha maandamano mkubwa wa kushinikiza mgodi utoe bus ambazo huwa zinapaki General tyare bila shughuli yoyote

Alisema " kutokana na sheria ya madini ya mwaka 2007 mgodi unawajibu wa kusaidia shughuli za maendeleo katika vijiji ambavyo viko pembezoni wa mgodi ni pamoja na kuwapa usafiri nyingi wanafunzi

Hata kwa akiri ya kawaida mgodi ndio unaosababisha aza hii kwa sababu kusingekuwepo na mgodi basi shule hiyo ingejengewa Mtakuja ingekuwepo na ukaribu kwa wanafunzi wa Nyakabare,Mgusu,na Nyamarembo kwa sababu hapo ndio centre ya Kata ya Mtakuja lakini kuwepo kwa mgodi huo umesababisha shule kuwa mbali na wanafunzi kunyanyasika

Kwahiyo nimeupa mgodi siku 30 kama hijatatua suala hili basi nitaitisha maandamano makubwa na kupeleka machungu yetu sehemu husika kulaani kitendo hiki na nitasimamia kwa nguvu zangu zote kuhakikisha wanafunz wanapata haki zao"

Vile vile alitoa rai kwa vijana wa Geita wasiwe waoga wakipigania haki zao kwani kufanya hivyo kunasababisha Geita kuwa maskini.

*** Mwana Wa Geita***
 
Mods,

Huu uzi unafanya nini mpaka muda huu? Yaani AGA/GGM wakazimishwe kuwapa usafiri hao wanafunzi? Embu weka hicho kifungu kinacholazimisha mwekezaji wa madini kulazimishwa kuhudumia jamii inayomzunguka...

Hayo mabasi kupaki hapo General Tyre yanakuuma sana? Embu njoo PM nikupe hela uende kwa Jafari au Ambassador au kule Katoma ukapate chakula, maana inaonekana una njaa...una utapiamlo
 
Akiwa katika kijiji cha Samina mkoani Geita Ndugu mhere Mwita ndipo alipokutana na wanafunzi wa Shantamine wakipata aza ya usafiri ndipo aliwaambia wanafunzi hao kama serikali isiposhughulikia tatizo hilo pamoja na Mgodi wa Geita basi ataitisha maandamano mkubwa wa kushinikiza mgodi utoe bus ambazo huwa zinapaki General tyare bila shughuli yoyote

Alisema " kutokana na sheria ya madini ya mwaka 2007 mgodi unawajibu wa kusaidia shughuli za maendeleo katika vijiji ambavyo viko pembezoni wa mgodi ni pamoja na kuwapa usafiri nyingi wanafunzi

Hata kwa akiri ya kawaida mgodi ndio unaosababisha aza hii kwa sababu kusingekuwepo na mgodi basi shule hiyo ingejengewa Mtakuja ingekuwepo na ukaribu kwa wanafunzi wa Nyakabare,Mgusu,na Nyamarembo kwa sababu hapo ndio centre ya Kata ya Mtakuja lakini kuwepo kwa mgodi huo umesababisha shule kuwa mbali na wanafunzi kunyanyasika

Kwahiyo nimeupa mgodi siku 30 kama hijatatua suala hili basi nitaitisha maandamano makubwa na kupeleka machungu yetu sehemu husika kulaani kitendo hiki na nitasimamia kwa nguvu zangu zote kuhakikisha wanafunz wanapata haki zao"

Vile vile alitoa rai kwa vijana wa Geita wasiwe waoga wakipigania haki zao kwani kufanya hivyo kunasababisha Geita kuwa maskini.

*** Mwana Wa Geita***

Hakuna sheria ya madini ya mwaka 2007 iliyopo ilipitishwa na Bunge na kusainiwa na Rais mwaka huohuo 2010
 
Anachopaswa kujua cha kwanza ni kwamba hakuna Sheria ya Madini ya mwaka 2007. Akienda kuiambia mahakama upuuzi huo kesi itafutwa asubuhi subuhi!! Sheria ya Madini, Na. 14 ya mwaka 2010 ndiyo instrument inayotumika!
 
Back
Top Bottom