Mhe Vincent Nyerere siku ya jumatatu live at ITV

Lai Otieno

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
311
Reaction score
90
Waziri kivuli wa mambo ya ndani na Mbunge wa Musoma Mjini,ndani ya Dk 45 Itv Siku ya Juma 3 baada ya Taarifa ya habari ya saa 2 usiku, Stay Tuned kwa mustakabali wa serikali mbadala kwa manufaa ya Umma kwa walio huru na wafungwa bila kusahau wakimbizi na askari.
 
Uwezo wake mdogo sana....nae ni mmbunge mzigo ndani ya Cdm sema anabebwa na chama makini
 
Waziri kivuli wa mambo ya ndani na Mbunge wa Musoma Mjini,ndani ya Dk 45 Itv Siku ya Juma 3 baada ya Taarifa ya habari ya saa 2 usiku, Stay Tuned kwa mustakabali wa serikali mbadala kwa manufaa ya Umma kwa walio huru na wafungwa bila kusahau wakimbizi na askari.
 
Waziri kivuli wa mambo ya ndani na Mbunge wa Musoma Mjini,ndani ya Dk 45 Itv Siku ya Juma 3 baada ya Taarifa ya habari ya saa 2 usiku, Stay Tuned kwa mustakabali wa serikali mbadala kwa manufaa ya Umma kwa walio huru na wafungwa bila kusahau wakimbizi na askari.

Huyo hana jipya ni kati ya Viongozi wa Cdm waliofeli shule. Aliangukia pua mtihani wa form four. Ili uweze kuchambua mambo shule ni mhimu sana.
 
Waziri kivuli wa mambo ya ndani na Mbunge wa Musoma Mjini,ndani ya Dk 45 Itv Siku ya Juma 3 baada ya Taarifa ya habari ya saa 2 usiku, Stay Tuned kwa mustakabali wa serikali mbadala kwa manufaa ya Umma kwa walio huru na wafungwa bila kusahau wakimbizi na askari.

Kama cdm inataka kuendelea kushika jimbo la msm huyu mmbunge wa sasa tupilia mbali hana chochote anachokifanya
 
Back
Top Bottom