Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Watz si wasomaji mada kama hizi ukitaka kuwapata watu unaziweka kwenye audio simulizi.Nilichoambulia by summary pasipo elimu vyote vitakufa baada ya 20yrs akitoka madarakani hivo anapoteza mda wake katoa ushauri maendeleo ya vitu yaendane na maendeleo ya watu pia watu wakiendelea wataviendeleza vituAtaesoma anisaidie summary please huyu nguli wa fasihi ameniongezea njaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Utawala mbovu ndio adui Wa taifaMkuu,
Wewe ndio unapoteza muda wako. Niamini nikwambialo tatizo la msingi la nchi hujalijua bado.
Ntakuuliza swali moja tu, hao maadui wa taifa ni wepi??? Hili swali dogo tu sijui kama utalijibu.
Namsubiri ajibu hapa huyu mtoa madaUtawala mbovu ndio adui Wa taifa
Jamaa namkubali Sana kwenye fasihi kumjua zaidi mfollow fb kwa tz kweli ni bingwaUzi mzuri ila umerudia sana maeno kiasi cha kwamba msomaji inabidi aruke badhi ya vifungu.
Yote kwa yote umeongea vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataesoma anisaidie summary please huyu nguli wa fasihi ameniongezea njaa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah bonge la gazeti
Ila hongera lwa habari nzur japokua sjasoma
yess BiShoo haswaaAaa
Najua Kuna mambo ya maana utakuwa umeyaandika humu, nikisoma comments nne au tano ntapata tu kujua kinachojiri kwenye andiko lako.
Haya sasa fanya *summary" yake tukusome.
Jamaa namkubali Sana kwenye fasihi kumjua zaidi mfollow fb kwa tz kweli ni bingwa
Mtoa mada ni verified user kwenye social media hofu yasijemkuta ya uhujumu uchumi,maana ni heri umkosoe Mungu baba kuliko ......
Naomba kushauri kuwa fupisha hilo andiko lako kwani ni refu sana pamoja na kwamba lina maudhui mazuri na ya msingi
Mwenzetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uishi Maisha marefu niliikubali fasihi yako uliyomchambua mwanamke,na ya ile ya Yona inabidi atoswe baharini ili tuvike salama kwani matatizo yote yona ndo kisababishiππππππ
Wengi wakipata nyazifa hujitoa ufahamu eti wanakuwa 'genius'.Sera zinatengenezwa nyuma ya mikamera sheria wanatumia zakwao ,yani! keki ya Taifa nikwaajili ya kundi Fulani tu! uzuri wake muda unakimbia sana 'let us cross our fingers and play before God to rescue us from calamities'Umeandika uliojaaliwa kheri kwako.Ila kuna mengi yaakupasa ujifunze kwa sababu wapo waliowahi kufikiri na kuandika kabra mfano shabani Robert ameandika mengi ambayo yangetekelezwa tungeweza kuwa mbali hujayajumuisha,Profesa Shayo amewahi andika kuhusu kuanzishwa kwa kijiji cha sayansi na teknolojia.
Elimu ni fumbo ambalo waafrika tumeshindwa kulifumbua hivyo linahitaji mjadala na sio mtazamo wa mtu mmoja au kikundi cha waunda mtaala/ Sera ambao wengi wao wamechoka kifikra.
Elimu inataka demokrasia na sio jambo la kuwekwa mikononi nwa watu wachache hivyo jamii inatakiwa ishiriki kujiundia mfumo wa elimu kulingana na mahitaji ya sasa na baadae.
Afrika tunakosa kitu kujitambua na kujiamini.tumerithi mifumo,mmojawapo ni wa chama, ukijiunga kazi yako ni kuutetea, hali hii imedumaza fikra pingamizi.Kwa hio hakuna nawazo mbadala yanayokubarika na kufanyiwa kazi bali ya kikundi.
Waafrika tumetafsiri vibaya dhana ya serikali,mtu akiwa kiongozi anajipa mamlaka ya kufikiri kwa niaba ya wengi na kujiona anaakili kuliko anaowaongoza, hii ilianza zamani.
Loh!hebu ngoja nisome kwanzajoanah tafazali njoo msaidie huyu raia mwenzangu