napita tu mkuu nduguKuna baadhi ya shule binafsi (English medium) hapa jijini Mwanza zimetoa masharti ya kulipa kati ya tshs 85,000 na 100,000 kwa ajili ya picha na usajili wa mitihani
Wanangu wote wako shule zetu za kajamba nani ila niko karibu na shule moja binafsi na nimewapokea mabinti wawili leo siku ya pili wametumiwa pesa leo.Kuna elimu bure pia mkuu unaweza mpeleka huko kama unaona huko unaibiwa
Unamwambia ndali charcoal kama nani ktk hizo shule qwani aliwasaidaia gharama za ujenzi ????
Inaonekana miss confidence wewe ni wale mnaopata umeneja kwa sababu tu umeolewa na mwenye shule au siyo boss? Umefurahi eeeh!Kuna elimu bure pia mkuu unaweza mpeleka huko kama unaona huko unaibiwa
Unamwambia ndali charcoal kama nani ktk hizo shule qwani aliwasaidaia gharama za ujenzi ????
Kuna baadhi ya shule binafsi (English medium) hapa jijini Mwanza zimetoa masharti ya kulipa kati ya tshs 85,000 na 100,000 kwa ajili ya picha na usajili wa mitihani ya taifa ya kidato cha pili mwaka huu.
Kibaya zaidi baadhi ya shule zimeanza hata kuwafukuza wanafunzi ambao hawajalipa karibu wiki moja sasa.
Tunaomba maelekezo ya mheshimiwa waziri Ndalichako au ofisi ya Baraza la Mitihani la Taifa kama malipo haya ni ya halali kulipwa au ni mwendelezo wa kuwaibia wazazi.
Sisi.hayo hatuhitaji kujua kabisa swala la kufukuzwa linatokana na kuchelewesha ulipaji haya kama uliambiwa 24hrs ulipaswa ulipe , si ulimpeleka mwanao akajue Kingereza sasa unalalamika nini? Lipa usitusumbue kabisa hapa!Kuna baadhi ya shule binafsi (English medium) hapa jijini Mwanza zimetoa masharti ya kulipa kati ya tshs 85,000 na 100,000 kwa ajili ya picha na usajili wa mitihani ya taifa ya kidato cha pili mwaka huu.
Kibaya zaidi baadhi ya shule zimeanza hata kuwafukuza wanafunzi ambao hawajalipa karibu wiki moja sasa.
Tunaomba maelekezo ya mheshimiwa waziri Ndalichako au ofisi ya Baraza la Mitihani la Taifa kama malipo haya ni ya halali kulipwa au ni mwendelezo wa kuwaibia wazazi.
Kupelekwa baraza sio issue kumbuka inatakiwa ipelekwe baraza na nyingine ibaki kma sehemu ya matumizi ya shule na bado mishahara ya watumishi humohumo bado mwenye shule naye ajilipe humohumo huoni kuwa hiyo cost iko sawa tuuu....kama wazazi wenyewe wanailipaWanangu wote wako shule zetu za kajamba nani ila niko karibu na shule moja binafsi na nimewapokea mabinti wawili leo siku ya pili wametumiwa pesa leo.
Hivi kweli watoto hawawezi kusubiria shuleni mpaka wafukuzwe? Hata hivyo hiyo laki inakuwa ni ya gharama si Ndalichako anaweza kujua kwa sababu wanasema inalipwa baraza la mitihani.
Nimefurahi Sanaaa atheeee...... Ahsante qwa utabiri wako mwema wakunitabiria umeneja hahaaaaaaaa Ameen na iwe hivyo siku chache zijazoInaonekana miss confidence wewe ni wale mnaopata umeneja kwa sababu tu umeolewa na mwenye shule au siyo boss? Umefurahi eeeh!