Mwenyekiti CHADEMA Taifa Mhe. Freedman Mbowe akiongea na wanahabari nje ya Mahakama ya rufaa Jijini Arusha mapema leo akiwa ameongozana na wajumbe wa Kamati Kuu na viongozi mbalinbali wa Chama waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mhe. Godbles Lema, Mbunge wa Arasha Mjini