Nimekuwa nikijiuliza sana Mhe. Malla alikuwa na maana gani alipofananisha mgogoro wa Madiwani na mtoto wa shule aliyerudi nyumbani na mimba kwamba mzazi hawezi kumfukuza. Anataka kutuambia yeye na Madiwani wenzake baada ya kutembea na CCM na kupata hiyo mimba isiyotarajiwa sasa anataka kuilazimisha Chadema ikubali tu pasipo kuulizia kulikoni au ilikuwakuwaje hiyo mimba ikapatikana matunzo yake yakoje nk. Hata kama ningekuwa mimi ndiye baba Chadema nisingekubali. Ebo!!!!!
Ni simple kama baba wa mtoto anajulikana na msichana anaonekana kumpenda aliyempa ujauzito nitawatakia maisha mema yaani Malla na CCM.Utakataa kwa sababu humjui baba wa mtoto au? Maana hapa baba wa mtoto anajulikana na mwanao ndio huyo kitumbo kinaonekana na mjukuu yuko njiani. Hebu sema tena utakataa kwa misingi gani?
Ukitaka kumjua Malla kwa undani tembelea Arusha kuna baa moja maarufu katikati ya jiji inaitwa HOUSE OF WINE hapo ndipo anapopooza koromeo lake baada ya pilikapilika zake.
Nimekuwa nikijiuliza sana Mhe. Malla alikuwa na maana gani alipofananisha mgogoro wa Madiwani na mtoto wa shule aliyerudi nyumbani na mimba kwamba mzazi hawezi kumfukuza. Anataka kutuambia yeye na Madiwani wenzake baada ya kutembea na CCM na kupata hiyo mimba isiyotarajiwa sasa anataka kuilazimisha Chadema ikubali tu pasipo kuulizia kulikoni au ilikuwakuwaje hiyo mimba ikapatikana matunzo yake yakoje nk. Hata kama ningekuwa mimi ndiye baba Chadema nisingekubali. Ebo!!!!!
ni jibu zuri sana mkuu Feedback ila huoni kama ishatokea dosari katika familia yaani cdm..Ni simple kama baba wa mtoto anajulikana na msichana anaonekana kumpenda aliyempa ujauzito nitawatakia maisha mema yaani Malla na CCM.
Ni simple kama baba wa mtoto anajulikana na msichana anaonekana kumpenda aliyempa ujauzito nitawatakia maisha mema yaani Malla na CCM.
Achague moja akubaliane na masharti mapya nitakayompa yakiwemo kuomba radhi (barua) au aongozane na aliyempa mimba(CCM)Tatizo hapa anatakiwa auwe kichanga kilichoko tumboni na bila hivyo haruhusiwi kukanyaga home sasa atafanyeje?
I want to keep my family clean aende asije kuambukiza na wadogo zake na hilo litakuwa fundisho pia kwa atakaowaacha huo utakuwa ndio msimamo wa familia.ni jibu zuri sana mkuu Feedback ila huoni kama ishatokea dosari katika familia yaani cdm..