Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.
Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.
Inaonekana kwasasa hamna uwezo tena wa kujibu hoja bali ni kumtishia kuhusu jimboni kwake. Kwa taarifa yako maendeleo yanaletwa na serekali kupitia kodi za wananchi na mbunge kazi yake ni kuwawakilisha na kuwasemea wananchi wake bungeni. Hebu tupe tofauti ya kimaisha ya jimboni kwa mbunge yoyote wa ccm ukilinganisha na kwa Lissu hapo tutajua unaongea nini. Maana nijuavyo shida ya maji iko sehemu kubwa ya mkoa wa Singida regadless Ni kwa Lissu au kwa Mwigulu, shida ya pembejeo ni kwa wote sio kwa Lissu au Kwa Dewji, shida ya madawati, zahanati kukosa dawa kunafanana sasa wewe unayejifanya mpiga kura wake una lipi la kumtishia?
Wewe ni waziri fanya kazi yako acha siasa za vitisho wakati huna uwezo wa kujenga hoja, matokeo yake unajifanya unakubalika wakati unaishia kutumia polisi kudhibiti wapinzani na kushindwa kupeleka hela mahali husika kwa sababu za kiitikadi wakati mnapokusanya kodi hamkushanyi kwa wanachama wenu tu. Acha ujinga ndugu.
Akakona Mwinowere, Basi awe chifu wa ikungi si mezoea akija anawapa nyama choma na pombe hasa ile ya K Vant nadhani unaijua vizuri na nyie ndo mnamuaminisha kua hali ya siasa jimbon iko shwari, mmebugi.
We kweli unamatatizo ya ubongo, tuoneshe majimbo yenye maendeleo katika nchi hii! kwani maendeleo huletwa na mbunge? kwani kazi ya mbunge ni kuleta maendeleo? Wacha kutumiwa kama "condom" wewe!Nategemea na naamini Jf ni jukwaa na uwanja wa facts na sio fillings, tuambizane ukwel na tujisahihishe, jimbon kwa Lissu hali mbaya sana kimaendeleo na kwake pia kwa uchaguz ujao.
MNAFIKI SANA WEWE,Ulijifanya umempa kura yako LISU na kuwa wewe ni CDM.kwa hili tayari ushajiweka wazi kuwa wewe ni CCM.Acha UNAFIKI hautokusaidia.Kwa mnaoona anaweza kugombea jimbo lolote jingne, jaribuni sumu hio. mbona akina mnyika na wengne wanazungumzia sana mambo ya kwnye majimbo yao na ya kitaifa wapo WHY NOT LISSU?
Kama Lissu ni national figure basi ndio maana hilo li nchi liko kwenye kundi la nchi maskini na zenye IQ ndogo...natinal figure kichaa??Lissu is no longer a province figure, but ruther a national figure. Msijidanganye kuwa mtu akishakuwa mbunge basi yeye ni kuongea ya jimboni kwake tu ndani ya bunge. Futeni hilo ndani ya vichwa vyenu na mjue kuwa mbunge ni mwakilishi wa wananchi wote kupitia jimbo fulani la uchaguzi na hana mipaka juu ya aongee nini na aache nini ndani ya bunge. As long as ni mbunge maslahi ya taifa kwanza na vingine vinafuata.
Hongera mg. Lissu kwa kuwa ndani wa kuigwa kwa kutetea maslahi ya kitaifa na kukosoa pale panapoonekana hapako sawa au hapakuwa sawa.
Mihemuko yako ya kisiasa na Chuki zako zisikufanye ufikie hatua ya kumwita mtu kichaa bila uthibitisho wa daktari.Kama Lissu ni national figure basi ndio maana hilo li nchi liko kwenye kundi la nchi maskini na zenye IQ ndogo...natinal figure kichaa??
msambaru hapo kwenye viongozi wa kijiji,kitongoji na kata upo sawa umetoa ushauri mzuri tu,basi nawe jumuika kumsaidia kamanda uchaguzi wa serkali za mitaa mpate viongozi hao uliowataja ili jimbo lote liwe cdm,lakini pia wacha sie wengine tumshangilie mana kazi anayofanya mbunge wenu lisu sio kukomboa jimbo lenu tu,bali Tanzania kwa ujumla,msapoti jembe lisu tukafaidi lasiri mali za inchi yetu.Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko. Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.
lissu hategemei ubunge kutetea watanzania,amekuwa mtetezi kabla hata ya ubunge,na msipomchagua nyie huku mwanza tunamhitaji saana tu na tuko mbioni kuongea nae kumshawishi agombee huku...it will be a great honor to us,na siku zote NABII HATAMBULIKI KWAO,BIG UP LSSUSawa, ila mnaodhan yeye ni level ya taifa basi aachie jimbo awe mwanaharakati na sio mbunge, mnawaona wapga kura wake wajinga? siku inakuja nayo yaja upesi, mi ni mwanachama hai wa Cdm ila sijalewa sifa za chama kiasi cha kujisahau kua chama kwanza jimbo badae, mnampotosha.
Acha apiganie haki za wengi,
Kwanza jiulize, hao wabunge wengine wameleta mabadiliko gani sehemu wanazotoka kabla ya kumshambulia Lisu. Shida zote mnazopata ni kwa sababu ya serikali yenu dhaifu ya intarahamwe,
Mhe. Lissu kwa mtindo wa siasa na hamasa duni kwa sisi wapiga kura wako 2015 maeneo ya isuna, mungaa, mang'onyi, ntuntu, matongo,mahambe (nyumban kwako), mpaka iglanson na kwngneko.
Umefanya siasa kinzani na serikali bila kujali tunaoumia ni sisi wananchi wa kawaida, fanya bidii upate viongoz ktk ngaz za vitongoji, vijiji na kata ndipo utapoweza kufuatilia na kusimamia maendeleo, vnginevyo utaishia kushabikiwa na kushangiliwa na watu ambao hata jimbon kwako hawapajui.