Mhe.Ghati Chomete atuma ujumbe mkoani mara siku ya wanawake duniani

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
261
Reaction score
199
MHE.GHATI CHOMETE (MB) ATUMA UJUMBE MKOANI MARA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Wanawake na wananchi wa Mkoa wa Mara, Mimi Mwakilishi wenu ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ninaungana na Viongozi, Asasi, Taasisi, Mashirika, Makampuni na Makundi yote Nchini Tanzania tukiongozwa na Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Kwanza Mwanamke katika Ukanda wa Afrika Mashariki kuwatakieni Kheri katika kusherekea siku hii muhimu kuhusu nafasi ya Mwanamke katika Jamii.

Kupitia Kauli Mbiu ya Mwaka huu "Haki na usawa kwa Mwanamke na Msichana, Misingi Jumuishi kufikia Dira 2050"

Happy International Women's Day

Mhe.Ghati Chomete (Mb),
Viti Maalum Mkoa- Mara,
Dodoma- Tanzania,
Machi 08, 2026.

c1dd9f2e00a147adb36053a4d878f941.jpg
 
Habari yenye mvuto ni wanawake wa BAWACHA. Huyu chawa hakuna mtu ana mpango naye.
 
MHE.GHATI CHOMETE (MB) ATUMA UJUMBE MKOANI MARA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Wanawake na wananchi wa Mkoa wa Mara, Mimi Mwakilishi wenu ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ninaungana na Viongozi, Asasi, Taasisi, Mashirika, Makampuni na Makundi yote Nchini Tanzania tukiongozwa na Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan Rais wa Kwanza Mwanamke katika Ukanda wa Afrika Mashariki kuwatakieni Kheri katika kusherekea siku hii muhimu kuhusu nafasi ya Mwanamke katika Jamii.

Kupitia Kauli Mbiu ya Mwaka huu "Haki na usawa kwa Mwanamke na Msichana, Misingi Jumuishi kufikia Dira 2050"

Happy International Women's Day

Mhe.Ghati Chomete (Mb),
Viti Maalum Mkoa- Mara,
Dodoma- Tanzania,
Machi 08, 2026.
Samia Suluhu Hassan Rais dikteta wa Kwanza Mwanamke katika Ukanda wa Afrika Mashariki
 
Back
Top Bottom