Mhe: Bungala(Bwege): Mtoto hapatikani bila maji

swahiba Senior

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
2,478
Reaction score
3,630
AKICHANGIA LEO BUNGENI KATIKA BAJETI YA WIZARA YA MAJI MH: BWEGE KASEMA;

Mhe. Naibu spika maji ni kila kitu katika maisha ya mwanadamu na huwezi kulala na mke bila Maji na akaenda mbali zaidi na kudai mtoto hawezi kupatikana bila maji na kusisitiza Mh. Naibu spika utampataje mtoto bila maji?

Je! Wewe umemuelewaje huyu mbunge? Kwa kauli yake?
 
anamaanisha mfano mtoto akipata ugonjwa wa kuharisha na hamna maji unadhani itakuwaje..!!!!
 
Kwani wewe umemwelewaje, hebu tuanzie hapo
 
anamaanisha mfano mtoto akipata ugonjwa wa kuharisha na hamna maji unadhani itakuwaje..!!!!
Anapelekwa2 hospital kutibiwa sasa hapo maji yameingiaje ktk upatikanaji wa mtoto?? We umeongelea ugonjwa
 
hivi MTU akikwambia unaliwa tigo anamaanisha nn tuanzie hapo kwanza
 
Aiseee! Ninachowapenda watu wa pwani ni uhuru wao wa kujieleza. Mambo ya tafsiri anabaki nayo mpokea ujumbe. Hahahahaaa!
 
Huyo mbunge ni kawaida yake kutoa maneno yenye utata, hata kwenye vikao vya kujadili maendeleo ya mkoa asipokuwepo siku hiyo kikao kitapooza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…