Agnes Marwa aomba Maslahi ya Majeshi Yaboreshwe

Makamanda tunakesha tunaumwa na mbu kuhakikisha Nchi Iko salama na viongozi wake japo ni mafisadi.makamanda tunatakiwa tulipwe kama wabunge Kwa kazi kubwa tunayofanya.
 
Makamanda tunakesha tunaumwa na mbu kuhakikisha Nchi Iko salama na viongozi wake japo ni mafisadi.makamanda tunatakiwa tulipwe kama wabunge Kwa kazi kubwa tunayofanya.
Shida wako wengi sanaa.....ile kazi ya wito na uzalendo
 
Kwani ashasikia wanalalamika.....hao hawana hata kikokotoo.....hata Ile habari ya vyeti feki huko hakuna aliyeguswa. Ningedhani Kama angekuwa mzalendo awasemee walimu, madaktari na manesi.
Polisi Wana mishahara midogo mnooo na pia ukipitishia kikokotoo Hawa kwa hulka Wana kuwa na kitu injustice....vyesi vingi walio waroho wanapiga dili. Ile ration iondolewe badala yake iwekwe kwenye mishahara yao kusudi pensheni yao inone
 
Back
Top Bottom