Mhe ADEN RAGE Mbunge wa Tabora mjini


Mnaona jinsi wasomali walivyokuwa wabaya,hawanaga huruma na hii nchi kabisa wanatamani hata ivurugike kabisa ili waje kila mtu akimbilie faru na tembo wake,DAH!!.
 
alkua mchezaji ,akini wa simba wa kikosi cha kwanza..enzi za kina king kibadeni, maulid dilunga ,mambosasa,alikua mchezaji wa kutumainiwa..
Na ni simba damu damu
amefanya mengi katika soka na kiongozi mjuaji wa mambo..kina tenga wanamulewa uzuri
Pia amekula hela za rambi rambi za Patrick Mutesa Mafisango pamoja na za Ubingwa waliochukua Simba B
 
Pia amewahi kulia hadharani baada ya Twite kumtosa na kwenda Yanga
 
WANYAMWEZI si wajinga ni watu wa fadhila ,ila hao wapewa fadhila hawarudishi fadhila stahili kwa jamii ile, kumbuka chimbuko la uhuru wa nchi hii, huwezi kuacha kuitaja Tabora , viongozi wa ukweli ktk nchi hii wanakumbuka vzr elimu walioipata pale. lkn hakuna wanachorudisha mh, Rage ni bingwa wa porojo za kale.
 
Wasomali wajipanga kuunyakua mkoa wetu wa Tabora,nasikia kuna mwingine na yeye anajipanga kwa kasi kuchukua jimbo la Nzega akipewa support kubwa na R.A
 
Pia siku ya hukumu ya kesi yake ya wizi kutoka FAT (shirika la soka la zamani) alikwenda mahakamani akiwa amevaa Tshirt iliyoandikwa CCM No 1! Lengo bila shaka ni kumyumbisha hakimu. Hata hivyo hakimu alimpeleka lupango na TShirt yake hiyo hiyo ya MWIZI No 1!
 
Blayi wa Mpwapwa. Kauri yake imenichefua kweli kweli anajivunia ujinga wa wanyamwezi said:
wanyamwezi ni ndugu wa wasukuma, uliza mageuzi Shy na Mza! siyo wajinga wala hawajalala kama unavyofikiri ila Tbr mjini walipewa na ccm wajinga wawili wakampa mjinga mmoja huyu.
 
dume, dume, dume.....sijui wanawake wako wapi maana wamedhalilishwa sana...kwani kuwa jike ni kosa ama aibu ama ujinga....wanaotetea haki za wakina mama wako wapi,,,,hata kikwete nimemsikia akihutubia mkutano mkuu wa ccm anasema ccm ni dume,,,nani jike na kwani kwa nini asikiite chama jike ili kuwawezesha wanawake wajisikie wamejaliwa............hapa wanawake msikipigie kura ccm 2015!
 
Kwani huwezi kufikisha ujumbe wako bila ya kutaja asili ya mtu anakotoka? Kama Rage unamtuhumu yeye kuna haja gani ya kumnasibisha na Usomali?

Wilberd Slaa akitajwa kwa kunasibishwa na umbulu au Mbowe na uchaga utaona ni sawa?[
Ndio maana chama chenu kikiambiwa kina harufu ya ukabila au udini mimi sishangai!
Ubaguzi ni ugonjwa mbaya sana unaoweza kusambaratisha taifa hivyo chunga kauli zako mkuu!

 
Kwani huwezi kufikisha ujumbe wako bila ya kutaja asili ya mtu anakotoka? Kama Rage unamtuhumu yeye kuna haja gani ya kumnasibisha na Usomali?

Wilberd Slaa akitajwa kwa kunasibishwa na umbulu au Mbowe na uchaga utaona ni sawa?[
Ndio maana chama chenu kikiambiwa kina harufu ya ukabila au udini mimi sishangai!
Ubaguzi ni ugonjwa mbaya sana unaoweza kusambaratisha taifa hivyo chunga kauli zako mkuu!


 
Ubaguzi! Ubaguzi! Ubaguzi
TZ ubaguzi hauna nafasi ndio maana wa TZ walikikataa chama cha kibaguzi uchaguzi wa 2010!

Wasomali wajipanga kuunyakua mkoa wetu wa Tabora,nasikia kuna mwingine na yeye anajipanga kwa kasi kuchukua jimbo la Nzega akipewa support kubwa na R.A
 

Hapo kwenye
red; kama kweli hilo swali liliwahi kuulizwa na PM Sokoine akatoa hilo jibu basi Sokoine alikuwa genius. Hizo zilikuwa enzi za CCM ya ukweli na sio hii ya mafisadi hivi leo. Hebu jaribu kufikiria ingekuwa Pinda angejibuje?
Pinda angeseme"ndugu yangu hatuna shida na wewe kabisaa ulijikwaa tu na sasa umeliona kosa lako basi karibu tu tujenge chama wewe ni mwenzetu"
 
Rage hakushinda kwa rufaa kesi ya wizi wa pesa za FAT, alifungwa ila alitolewa kwa msamaha wa rais! hajaacha wizi amekula hata pesa ya rambirambi za marehemu Patrick Mutesa Mafisango!
 
watz na cc bhana... hata mbuz akiwekewa kichwa cha binadam akavalshwa green, bado wata mvote yes.... don knw..these ppo kwa kwel.
 
Pia amekula hela za rambi rambi za Patrick Mutesa Mafisango pamoja na za Ubingwa waliochukua Simba B
mh Rage ni bingwa wa porojo siku ya msiba wa mafisango wakati anasoma risala alijifanya kulia na kushindwa kusoma risala ile, huku akisaidiwa kulia kisanii na mh Samweli Sitta , mzee wa porojo akaelezea kuwa alikuwa analia sababu marehemu alimwambia japokuwa mkataba wake umemalizika atachezea Simba bureeee. sasa ukitaka kujua jamaa ni mzee wa porojo vyombo vya marehemu vilipotupwa nje , aliuchuna kimya huku msemaji wa klabu hiyo akielezea kuwa marehemu alishamaliza mkataba simba , fedha za rambirambi zimetumika kwenye mazishi. mh RAGE alikuwa mchezaji wa simba miaka ya nyuma hakuwahi kucheza na kibadeni
 
wewe ni muongo wali hali duni sana. Alikuwa akitengeneza magari gereji gani. wacheni kuwapakazi uchafu watu msio wajua. hebu muwe wasema ukweli kwenye hii forum. This is becoming a romours mongers forum, please dont spoil the image of this wonderfull forum, what is going on here is total charachter assasination.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…