Mhaya tapeli na mchaga

jmura

Member
Apr 27, 2010
57
9
Mhaya aliingia baa akaanza kuagiza vinywaji huku akiwa nasimu ya nne! Akaagiza heineken baridi. Wee mudada hebu kuja hapa, leta ile bia yawazee! Leta Heineken baridi kwa kweli! Mara simu ikaita, halloo rushoberahabari za hapo, sasa ile milioni ishirin utanieletea lini, ok basi tuwasilianeniko hapa Kempsik niko na yule mtoto wangu aliyemaliza kapahd hapo Havard ambayemdogo wake yuko pale texas, halafu nitasafiri kidogo naomba uje mara moja ilitumalize yale mambo yetu. Akamwita waiter haloo hebu leta vocha ya elfu kumimara akaangia mchaga mhaya akaamwita pembeni haroo unaweza kuwa na elfu kumi yakaribu? Mchaga akamjibu hapa hupati kituaisee kajaribu kwa watu wengine tumetoka moshi eti Mungu onyesha sehemu helailipo!!!!

 
Kwa hiyo unamaanisha mhaya hupenda kujikweza ili aonekane matawi sio?
 
Nasikia wahaya wanongoza kwa kuazima magari makali ili wakasumbue mitaa fulani ya masholi.ila mhaya mmoja aliazima benzi na aliambiwa na jamaa yake akajaze kabisa mafuta yeye akaendelea kukamua mpaka mafuta yaliyokuwamo yakaisha gari ikazima. Kucheck jamaa ana buku 2tu. Palikuwa hapatoshi!
 
Kuna watu wamekaa ukabila kabila tu mwanzo mwisho,haya sasa moral ya story yako ni nini??

Na huyo anaedai wahaya wanaazima magari na yeye mbwiiiilu....umesimuliwa na wewe uka edit uonekane unastory....

Ndugu kama komedi toeni zenye akili sio mnajinaaaadi na kuleta ukabila...maisha yenyewe ya kuringia yako wapi??
 
yani mijitu mingine sijui iko vipi humu jamii daily christian muslim haya chaga wat thy fa..........k
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom