okwili
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 220
- 35
- Thread starter
- #21
Unashindwa jitambua ndugu, sio kila ofisi zinapenda tangaza nafasi za kazi, inakuwa kuna nafasi unaambiwa tunaitaji mtu wa kufanya kazi flani. Nimeshindwa weka email ya ofisi coz nimeambiwa nilete mtu. Kama unaitaji kazi tuma cv then utaitwa kwenye interview. Address ya ofisi nimetoa unaweza kuja. Tirdo complex Block H10.Kuna kiharufu naskia cha kitapeli tapeli hivi.
Yani kampuni haina hata mail za kiofisi? Mnatumia yahoo? Mhh anyway mimi sio mhasibu.