Mhariri wa kitabu

Keneth12

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
114
Reaction score
163
Wana Jf
Nimeandika kitabu chenye kurasa 27 za Microsoft word kwa lugha ya kiswahili, nahitaji mhariri atakaye pitia ili kiwe tayari kwa ajili ya wasomaji. Mhariri, mwenye uwezo na ambaye amewahi kuwa mhariri anaweza kuni pm na anipe bei ya kazi hiyo ili tuanze kazi hiyo haraka iwezekanavyo.

Akhsanteni na karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…