Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,646
- 164,798
Ni kweli Zitto ni kati ya wabunge wanaotuhumiwa kuhongwa katika sakata hili? Naomba jibu maana mwili unasisimka kusikia wapinzani ni miongoni mwa wanaounga mkono ufisadi TANESCO.
Mkuu huo ndio mtazamo uliopo.Nlisika mbunge mmoja akimtaja zitto moja kwa moja wakati mbunge mwingine akichangia.Lengo ni umma usikie.Ni kweli Zitto ni kati ya wabunge wanaotuhumiwa kuhongwa katika sakata hili? Naomba jibu maana mwili unasisimka kusikia wapinzani ni miongoni mwa wanaounga mkono ufisadi TANESCO.
Hivi zitto alikuwa anamtetea Mhando au alitaka kamati ya bunge iwahoji TANESCO pamoja na viongozi wa wizara ili kupata ukweli?Ni kweli Zitto anatuhumiwa lakini ni yeye peke yake maana msimamo wa chama cha CDM kama ulivyoelezwa na Waziri Kivuli wa Nishati na Madini ni tofauti na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mh.Zitto Zuberi Kabwe!! naanza kuelewa kwanini walimwambia asiwe Mwenyekiti wa CDM pengine sasahivi chadema kingekuwa kama NCCR umaarufu wake ungekuwa una-decline kwa kasi!!!
Mkuu mashmbulizi yamefanyika bungeni na yeye hakuwa na nafasi ya kuongea ndani ya bunge.Naona tumpe muda ila kama atakaa kimya au kuja na utetezi wa uongo basi ajue ndio amejimaliza kisiasa.kama Zito kala rushwa, watu wasiseme kwa sababu ni Zito? Kama hajala kwa nini asiombe wanaoseme kuna wabunge wamekula rushwa wathibitishe kauli zao kama ilivyozoeleka kila kauli zenye utata. Nadhani kuna kaukweli kwenye tuhuma hizi, tusikimbilie tu kusema wanamwandama Zito sababu ya rushwa. Kama kala au hakula ni vema tujue mapema kabla safari haijaenda mbali sio kufichaficha kama 2005 majuto itakuwa mjukuu
Kachafuliwa na nini au na wewe umetumwa kusaidia kundi la mafisadi? Jiulize kakataa zabuni ya sh 1800/- kaipa Puma kwa sh 1400/- na sheria inamruhusu kufanya hivyo kwa maslahi ya umma, wewe unafikiri hapo wakuokolewa nani? Au mnataka kujificha chini ya kivuli cha kufuata taratibu za manunuzi ya umma ili kuendelea kutuibia au?4.kuna jitihada za dhati kabisa kumsafisha katibu mkuu na kutupa lawama zote kwa TANESCO na kwamba wanasiasa hawahusiki kabisa ktk sakata hili.
Kachafuliwa na nini au na wewe umetumwa kusaidia kundi la mafisadi? Jiulize kakataa zabuni ya sh 1800/- kaipa Puma kwa sh 1400/- na sheria inamruhusu kufanya hivyo kwa maslahi ya umma, wewe unafikiri hapo wakuokolewa nani? Au mnataka kujificha chini ya kivuli cha kufuata taratibu za manunuzi ya umma ili kuendelea kutuibia au?
Kwa bei ya Puma ambayo serikali yetu ina hisa 50% tutaokoa sh bil 3 kila mwezi.. na pia faida ya kampuni itakayozalishwa tutapata mgao.. Kaa, tulia, tafakari, chukua hatua acha kuyumbishwa na mafisadi wanaotumia kanuni/sheria kuifilisi nchi.
Uadilifu ndo ulimsukuma katibu mkuu. Na akatumia discreation yake kulinusuru taifaAcheni kukurupuka.Una uhakika na kilichomsukuma Katibu mkuu huyo?Mimi na wewe hatujui, dawa hapa ni kuunda kamati ya uchunguzi tu.Na kwaninii swala la kamati halipewi nafasi?
mkuu hawezi kufunguka maana akifunguka ccm itakuwa ndani ya ndapo la tabata itakwisha ndani ya masaa tuMhando angefunguka tungejua mengi