PreGE2025 Mhandisi Jumbe Katala aingia kwenye kinyanganyiro

PreGE2025 Mhandisi Jumbe Katala aingia kwenye kinyanganyiro

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

LESIRIAMU

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
9,193
Reaction score
14,900
IRAMBA KUMEKUCHA, ENG. JUMBE KATALA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI.

Wakati ambapo joto la watia Nia katika majimbo na kata mbalimbali nchini likiendelea kuongezeka kwa upande wa Mkoa wa Singida Hali ni Shwari kabisa ikitajwa kuwa Leo Juni 28,2025 wamejitokeza watia nia wengi kuchukua fomu za kuwania Kuteuliwa katika nafasi hizo.

Kwa upande wa Jimbo la Iramba Magharibi Mhandisi Jumbe Naligia Katala ambaye pia ni Mkurugenzi na Mmliki wa Katala High School iliyopo Wilaya ya Iramba Mkoani Singida inayofanya vizuri kitaaluma mkoani hapa.
IMG-20250629-WA0029.jpg

Huyu ni mtu sahihi kwa jimbo la Iramba. Mhandisi mtaalam alie iletea Tanzania heshima, ikiwepo usimamizi wa barabara za mwendo kasi Dar.
Kijana alie fanya kazi Bank ya maendeleo Afrika. Suluhisho la matatizo ya jimbo la Iramba.
 
Ubunge sasa ni kama kafasheni flani hivi ka maisha kwa watu maarufu na wenye hela...
Ubunge umeondoka kwenye uwajibikaji na kuwa status kwenye jamii.
 
Back
Top Bottom