Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Nchini(Tanesco) Mhandisi Felchesm Mramba sasa aibukia Kanisani ambapo ameandaa semina itakayoambatana na maombezi katika kanisa la TAG Changanyikeni.
Huyo ni mtumishi wa muda mrefu.ndio maana mmeona majibu yake haraka.namuomba bw. Mramba amsamehe kwani akiendelea kumlilia Mungu ktk hilo nina uhakika Muhongo ataokota chupa pamoja na uprofu wake.pia Muhongo aombe toba na msamaha kwa ile dhambi mbaya . Msomi mzuri hajikwezi anakwezwa.
Mwenye njaa ni yule aliye mfitini kwa JPM. Ona sasa, naye katolewa kwa aibu tena hadharani. Ptyuuuu! Muosha kaoshwa. Mungu wa Mramba hujibu kwa moto. Bwana asifiwe saana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.