Jamani hilo ni ziwa au bahari????!!!! Kama ni bahari unaweza kweli kuoga maji ya maji ya bahari...sijui bwana, labda hilo ni ziwa....anyway, siyajui sana mambo haya....
Nimesoma, unasemaje ndugu yangu .....yaani unaulizia kuhusu 'maji ya maji ya bahari'...ondoa maji ya ili ubaki na maji ya...ilikuwa ni haraka tu ya kuandika