Mhandisi akioga

Daaaah nimeipenda sana....sasa hapo hayo mafuta ya kumsha iyo mashine si bora angenunua ndoo ya buku mbili ili aoge???
 
Hapo unaambiwa safety factor imeangaliwa
 
He need a certificate in economics................and a diploma in Psychology...
 
Mhandisi akipiga maji mara baada ya kumaliza kazi.
No complications.



Jamani hilo ni ziwa au bahari????!!!! Kama ni bahari unaweza kweli kuoga maji ya maji ya bahari...sijui bwana, labda hilo ni ziwa....anyway, siyajui sana mambo haya....
 
Mods naomba msaada jamani kwangu Picha sasa hivi hazionekani kwenye hii app yenu kwani tatizo ni nini
 
Mods naomba msaada jamani kwangu Picha sasa hivi hazionekani kwenye hii app yenu kwani tatizo ni nini
Kama inatumia airtel ni kawaida....chakufanya ukiona haifunguki we i click then itaji download...ikinaliza ndio itafunguka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…