N ngwesa Member Joined Jan 27, 2012 Posts 24 Reaction score 1 Jan 31, 2012 #1 Eti jaman ni kwa nini tunasoma sana elimu mwishn isiwe la 7.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 Jan 31, 2012 #2 iwe mwisho la 2?! Au iwe hamna kusoma kabisa?! Mbona ndege wanakula? Na sisi ni bora kuliko hao?
Judgement JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 10,326 Reaction score 4,787 Jan 31, 2012 #3 Kongosho said: iwe mwisho la 2?! Au iwe hamna kusoma kabisa?! Mbona ndege wanakula? Na sisi ni bora kuliko hao? Click to expand... HAKIKA nashawishika nithubutu kusema tangu 2012 mwaka kuanza leo ndiyo umeongea Pweint ! Nimeipenda " Mbona Ndege (wanyama) wanakula , wanalala, wanaimba na msamiati wa neno SHULE hawana ? Sijui hadi lini tena utaangusha jipwent jingine.
Kongosho said: iwe mwisho la 2?! Au iwe hamna kusoma kabisa?! Mbona ndege wanakula? Na sisi ni bora kuliko hao? Click to expand... HAKIKA nashawishika nithubutu kusema tangu 2012 mwaka kuanza leo ndiyo umeongea Pweint ! Nimeipenda " Mbona Ndege (wanyama) wanakula , wanalala, wanaimba na msamiati wa neno SHULE hawana ? Sijui hadi lini tena utaangusha jipwent jingine.
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,504 Jan 31, 2012 #4 nafikiri tusome ila mitihani isiwepo yaaani tunasonga as long unamzuka....
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jan 31, 2012 #5 Kwani lazima usome? Ukifika unapoona umetosheka unaishia hapo.
nitonye JF-Expert Member Joined Dec 18, 2011 Posts 7,349 Reaction score 3,904 Jan 31, 2012 #6 ndege ana maisha yake na mwanadamu ana maisha yake, kuna ndege wengine wamesoma wana akili balaa