Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,846
- 43,322
Wasalaam wana jamvi!
Wana jamvi kama mtakumbuka baada ya Zitto kufukuzwa ndani ya bunge alitaka kuamishia siasa nje ya bunge huku akijikita kukosoa kila kitu!
Lakini tofauti na wapinzani wenzie yeye Zitto alijikita kwenye mashambulizi binafsi ndio maana baada ya mkutano pale mbagala aliitwa kuhojiwa dhidi ya maneno yake ya kichochezi!
Hiyo haitoshi baada ya kupewa dhamana Mh Zitto aliita waandishi wa habari na kueleza kuwa haogopi mtu na atafanya atakavyo na hakuna wa kumdhibiti!
Baada ya siku chache ACT kupitia Zitto walitangaza kufanya kongamano la kujadili budget lakini hawakuwa na kibali hivyo walizuiliwa na Mh Zitto alianza kutafutwa na polisi lakini alijificha na baada ya siku moja alijitokeza na kutamba hakuna wa kumkamata na hapo aliendeleza mashambulizi binafsi dhidi ya Mh Rais na Zitto aliahidi kumdhibiti na kusema kama wengine wameshindwa yeye atamdhibiti na kusema wazi watafanya kongamano na hakuna wa kumzuia!
Lakini kila mwenye akili alijiuliza ni vipi Zitto anaweza kumdhibiti Magufuli na wengi walisubiri siku ifike waone jinsi atakavyo fanya kongamano!
Wana jamvi hadi ninapo andika sasa ni mwezi sasa sina taarifa kongamano litafanyika lini na wapi na kwa ujasiri wamdomoni alio onesha Zitto siku ile watu walisubiri kwa hamu kushuhudia hilo kongamano na jinsi atakavyo mdhibiti Magufuli!
Bado na muuliza Ndugu Zitto kongamano ni lini?
Zitto anatamani aungane na UKAWA lakini anashindwa pakuanzia na hata UKAWA wanatamani kumkaribisha Zitto lakini wanashindwa maana walisha muita msaliti na wanajua wakiungana inakuwa rahisi kuwasambaratisha!
Karibuni wana jamvi!