Sasa mnataka na Zitto nae awe mropokaji tu kama kina Lema au? Maana ni wazi wanasiasa wengine wa CDM wako tu kwa ajili ya vichwa vya habari na kuongea pumba ilimradi aongee tu na kuonekana ama wanapinga CCM hata kama hoja hazina maana. Zitto katulia kama unataka kufutilia mambo yake yupo twitter na facebook vilevile, kijana anafanya mambo kwa umakini sio kutafuta sifa kama wengine.