The principal
Member
- Feb 25, 2012
- 8
- 0
Dear frends humu ndani mwenzenu nimeombwa ushauri wa jambo la ajabu ,tena lakunishangaza,kwa jinsi nilivyokuzwa nimezoea kuona heshima katika ndoa,leo mama mmoja ata sijamtegemea ameniambia kuwa ana ex boyfrend ambaye alichezea hisia zake uko nyuma na kumfanya avunje mahusiano aliokua nayo iliwarudiane nae lakini boy huyu alimuumiza tena na hakumuoa,sasa boy amerudi na kauli mpya na mdau yupo kwenye ndoa hajui afanyeje,mumewe ni mtu wa heshima na anampenda yeye na watoto haoni kosa hata akimtafutia,namshaurije?:disapointed: