Mh waziri Juma S. Nkamia

Status
Not open for further replies.
Huyu hafai ubunge tu alipata kwa bahati mbaya
 
Rage, mambo ya ndani, nkamia- utamadun, lusinde-ulinzi na jkt. Nchambi mambo ya nje, aboud- utalii. Lowasa ujenzi, nchemba katiba na sheria, zambi uchukuz, zungu-tamisem. Mrema utumishi, vick kamata jinsia na watoto, kigwangala fedha, hlo ndo baraza la gamba
 
wakimpa huyo basi hat mtangazaji wa clouds Mbwiga ajiandae
 
The guy is just too pompous hawezi cheo kikubwa namna hiyo,huyo anaweza kijagamba gamba sio mtendaji kazi abakie huko huko ila kwa serikali yetu isiyopenda wachapakazi Wanaweza kumpa mpaka atakapoharibu ndio watamtoa .....
 
kama raisi anataka avunje tena baraza la mawaziri mwezi wa nne mwakani amuweke Mwigulu huyo uliyemtaja.....

Mwigulu atasababisha kuvunjwa baraza kwa kupanga mauwaji na Nkamia kwa sababu ya matusi hadharani... We subiri tu..
 

Labda apewe wizara ya Matusi na vijembe + mipasho
 
Niwewe mwenyewe umeamua kujipigia promo au mleta mada umepewa bei gani?
 
Niwewe mwenyewe umeamua kujipigia promo au mleta mada umepewa bei gani?

Nadhani ni katika hali ya kumdhihaki mhe. Hata yeye nkamia anajua hana uwezo wa kuongoza wizara ila kwa jk hakuna linaloshindikana ati! unaweza shangaa akaukwaa uwaziri hata asumpta mshama.
 
kwa jk hakuna lisiloshindikana unaweza mhe kibajaji akiukwa wizara ya utumishi wa umma kama waziri kamili sembuse mkamia
 
kwa jk hakuna lisiloshindikana unaweza sikia mhe kibajaji akikwaa wizara ya utumishi wa umma kama waziri kamili sembuse mkamia

au

Hujasikia form two waliofeli wanaendelea form 3 wakimaliza kidato cha 4 watapewa waraka wao ni div 5 hivyo waendelee form 5 kwa kuwa wana reseamble kwa kuwa na div 5 na watasoma form 5 chezea umulugo type wa chama cha mizigo
 
Nkamia ni kilaza wa kutupwa. yaani we acha tu.
Hata kuongoza mke na watoto kunamshinda
 
masseeto badilisha uraia kwani juma nkamia tayari ni waziri wa utamaduni na michezo chezea magamba wewe, Mwigulu naibu waziri wa fedha, filikunjombe kapigwa chini
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…