Mh umesahau kumpendelea huyu

SONGOKA

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
1,832
2,000
Baada ya ndugu Mrema kupewa uenyekiti wa bodi ya parole (sijui Kiswahili chake ni nini) na huku ikionekana nafasi zinaanza kuisha kuna ndugu mmoja anakumbushia ahadi uliyompa ya kwamba ukipata urais utahakikisha unambeba kwelikweli.

Ndugu ANTONY DIALO vipi hukumbiki ahadi uliyompa pale mwanza wakati wa kampeni??

kama umesahau, nakukumbusha kwasababu ndo staili zenu hizi CCM, kuahidiana vyeo na deal mbalimbali.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom