Mh. Samia Apokea Malundo ya Kadi za Wana Chadema wa Mpwawa

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024
DSC_0805.jpg

DSC_0808.jpg

Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na kadi za Wanachama wa Chadema waliomkabidhi baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo.
 
nimezihesabu hazizidi 10, unaita rundo lol! wavurugwaji ni wengi nji hii
 
Mnaulizaga mbona mpya vipi hizo ni za zamani? Hayo ndiyo marundo? Hazifiki hata 10
Pole sana kijana. CCM mbele kwa mbele, tunakwapua malundo kwa malundo. Nyie endeleeni kutoana moyo na kashfa za Richmond wa Lowassa.
 
nimezihesabu hazizidi 10, unaita rundo lol! wavurugwaji ni wengi nji hii
Pole sana kijana wa Lowassa. CCM inaendelea kukwapua malundo kwa malundo ya Chadema huku nyie mkila ahadi hewa za lowassa.
 
DSC_0805.jpg

DSC_0808.jpg

Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na kadi za Wanachama wa Chadema waliomkabidhi baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo.

Sura za wanaodaiwa kurudisha kadi za Chadema zinaonyesha woga na wasiwasi wa ajabu. CCM acheni kuwarubuni hao wananchi, yatakuja kuwatokea puani. Si ajabu hao akina mama hata hawaelewi kinachoendelea, wamepewa kadi na kuambiwa akija Suluhu zipelekeni hizi kadi kwake mjifanye mlikuwa wanachadema! Mwisho wa haya yote ni tar 25 October.
 
DSC_0805.jpg

DSC_0808.jpg

Mama Samia Suluhu Hassan akiwa na kadi za Wanachama wa Chadema waliomkabidhi baada ya kutangaza kuhamia CCM, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika leo katika eneo la Mazaejimbo la Mpwapwa mkoani Dodoma leo.

marundo yapo wapi? mi naona kadi hata kumi hazifiki tena zote zinafanana mpyaa kama vile wenye kadi walijiunga na chama jana tena kwa wakati mmoja
 
Ndo kahutubia hao watu 6 au?...
 
marundo yapo wapi? mi naona kadi hata kumi hazifiki tena zote zinafanana mpyaa kama vile wenye kadi walijiunga na chama jana tena kwa wakati mmoja
Kadi mbona mpya? Sasa CCM wamekosa mbinu ya kukabiliana na gharika la UKAWA.
 
Kadi tano ndio unasema marundo??? Nyie mnakusanya kadi za wakulima tena kadi feki, sisi tunasomba mawaziri wenu toka CCM!
 
kwa maana hiyo mnanishawishi nimpe kura aingie ikulu kwa kazi ya kukusanya kadi za vyama vya upinzani?
 
Back
Top Bottom