Ushauri huu una utata hapo kwenye red ikiwa kuna wanaoaga dunia kwa kukosa matibabu na kukosa vipimo sahihi kwa sababu ya uwezo wao mdogo kifedha na pengine upungufu wa wataalamu hili mkuu halijui kweli. Kuna kiongozi flani aliona watu wanapanga foleni ya mkate akastaajabu akasema kwanini wasinunue keki.........Mbona JK toka amepata uraisi ye anapumzika tu, angekuwa anafanya kazi haya mambo ya wizi yangetokea?
Halafu alituficha ugonjwa mwaka mzima, saa sijui kama saa hivi anatumbia ugongwa wa kweli? maana kashauri hivi ".... msiogope kupima kansa, hata ukimwi pimeni tu, mi nimepata na nimepata tiba mapeni hali yangu sio mbaya sasa....."
Yaani kuuguza ngiri maji ndio kuzuie uteuzi wa mawaziri...!!!
Nakushauri mh. raisi kupumzika kama ulivyoshauriwa na daktari wako. usihangaike na suala la kutengua mawaziri waache wafanye kazi kwa miezi mnne hii uliyopewa na halafu ukiongeza na miezi mingine minne ya nyongeza utakayopewa na daktari wako ndipo baada ya mapumziko hayo yote ndipo utachagulie watanzania mawaziri wapya.
Tusikuchoshe raisi wetu kipenzi kwa kuanza kufikiria uteuzi huu mpya. sisi watanzania tunalizika kabisa kufanya kazi na mawaziri hawa mpaka utakapo tengamaa hata kama ni miezi nane ijayo.
Yaani kuuguza ngiri maji ndio kuzuie uteuzi wa mawaziri...!!!