Mh.Raisi pumzika na homa yako, achana na kutengua mawazili waliotuhumiwa .

ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,650
1,250
Nakushauri mh. raisi kupumzika kama ulivyoshauriwa na daktari wako. usihangaike na suala la kutengua mawaziri waache wafanye kazi kwa miezi mnne hii uliyopewa na halafu ukiongeza na miezi mingine minne ya nyongeza utakayopewa na daktari wako ndipo baada ya mapumziko hayo yote ndipo utachagulie watanzania mawaziri wapya.

Tusikuchoshe raisi wetu kipenzi kwa kuanza kufikiria uteuzi huu mpya. sisi watanzania tunalizika kabisa kufanya kazi na mawaziri hawa mpaka utakapo tengamaa hata kama ni miezi nane ijayo.
 
sasala

JF-Expert Member
Oct 22, 2013
376
250
Mbona JK toka amepata uraisi ye anapumzika tu, angekuwa anafanya kazi haya mambo ya wizi yangetokea?
Halafu alituficha ugonjwa mwaka mzima, saa sijui kama saa hivi anatumbia ugongwa wa kweli? maana kashauri hivi ".... msiogope kupima kansa, hata ukimwi pimeni tu, mi nimepata na nimepata tiba mapeni hali yangu sio mbaya sasa....."
 
Ablessed

JF-Expert Member
Mar 19, 2013
4,618
2,000

Ushauri huu una utata hapo kwenye red ikiwa kuna wanaoaga dunia kwa kukosa matibabu na kukosa vipimo sahihi kwa sababu ya uwezo wao mdogo kifedha na pengine upungufu wa wataalamu hili mkuu halijui kweli. Kuna kiongozi flani aliona watu wanapanga foleni ya mkate akastaajabu akasema kwanini wasinunue keki.........
 
Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,128
2,000
Yaani kuuguza ngiri maji ndio kuzuie uteuzi wa mawaziri...!!!
 
Mdakuzi

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
2,752
2,000
Lini uliona alifanya kazi hadi umpe ushauri wa kupumzika? Siku zote Mi namuona anapumzika tu tangu awe Rais ndio maana mambo yanaenda ovyo ovyo tu.
Ova
 
ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,650
1,250
Yaani kuuguza ngiri maji ndio kuzuie uteuzi wa mawaziri...!!!
daktari wake wa uingereza amemshauri apumzike miezi minne hakuna kufanya kazi yoyote akimaliza kutekeleza hilo anatakiwa afuate ushauri wa daktari wake wa bongo ambapo atampa tena miezi minne akitoka kwenye mapumziko hayo ndipo atuteulie hao mawazili.
 
Phillemon Mikael

JF-Expert Member
Nov 5, 2006
9,764
2,000
Nakushauri mh. raisi kupumzika kama ulivyoshauriwa na daktari wako. usihangaike na suala la kutengua mawaziri waache wafanye kazi kwa miezi mnne hii uliyopewa na halafu ukiongeza na miezi mingine minne ya nyongeza utakayopewa na daktari wako ndipo baada ya mapumziko hayo yote ndipo utachagulie watanzania mawaziri wapya.

Tusikuchoshe raisi wetu kipenzi kwa kuanza kufikiria uteuzi huu mpya. sisi watanzania tunalizika kabisa kufanya kazi na mawaziri hawa mpaka utakapo tengamaa hata kama ni miezi nane ijayo.
Huu Ndio Ushauri ambao hata Mimi nafikiri ....kwakuwa Rais anatakiwa kufanya kazi nyepesi kwa Sasa ...sio Wakati muafaka kwake ....kufanya mabadiliko Wakati huu
 
mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,509
2,000
Akipumzika miezi minne, hizo safari zote zamiezi hii, hela ikusanywe, ikaudumie watoto yatima, maana inawezekana kwenye bajeti ya usafiri wa rais tukaokoa billion 3, kwq miezi minne ya mapumziko.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom