gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Historia ipo kwaajili yakutukumbusha tulipotoka na hapa naomba nimnukuu mh Mnyika ili kuweka kumbukukumbu sawa na hapa namnukuu,
"Tumefika hapa kwasababu ya udhaifu wa raisi kikwete,uzembe wa wabunge na bunge na upumbavu wa CCM. "
Kwa maneno hayo hapo juu ujio wa Magufuli na Dr Tulia ni dhahiri kwamba CCM huleta mtu sahihi kwa wakati muafaka.
Mh raisi Kikwete alikua mpole lakini hatima yake aliambulia kejeli kama ilivyo hapo juu,wapinzani walizoea kutikisa kibiriti wakiamini kabisa hatima itakua kuitwa magogoni na kupata juice.Mh Kikwete diplomisia ilimponza hata mwisho wa siku kuitwa dhaifu. Lakini ukweli ni kwamba haikua dhaifu na ndio maana leo wapinzani wamekiri kwa vinywa vyao kwamba wameanza kummisi kikwete,hapa rejea kauli ya mh Lema.
Bungeni napo kulikua shwaari kabisa wakati wa mama Makinda tukishuhudia baadhi ya wabunge wakitoa kauli za uongo zisizo na ukweli wowote.
Lakini leo chama kimekua sikivu kikaleta vichwa viwili, Raisi Magufuli ameweza kusawazisha kila kitu kwa upande wa serikali.Atakaye andamana pasipo kufuata sheria atakala virungu na maji yakuwasha halafu hakuna mualiko magogoni kupata juice.
Huku bungeni chama kikamuweka Dr Tulia na ile nafasi ya kufanya utakavyo pasipo kufuata kanuni za bunge haipo. Sasa tunaona wabunge waliozoea vyakunyonga wanashinda nje ya bunge kwa matakwa yao na wengine kupigwa ban.
Hongera mh raisi na hongera bunge la jamuhuri kwa huu mchakamchaka unaoonekana sasa.